Huyu ni msaka tongeMleta wewe ni Nabii au Mtume
Wapentekoste bana
Nimekusoma vizuri sana mifano ipo sijasikia radio upendo au radio maria au tumaini wana kazi hii inayofanywa na wapo radio kwa juhudi kubwa! Ni ngumu MTU kukubalika na kila mtuUko sahihi ndugu.Kile ni chombo cha kikristo hakipaswi kukaa na kukejeli huduma za watumishi zaidi ya kuwatia moyo na kuwaombea.Penye makosa watarekebisha kwa maombi.Wanazidiwa na vyombo vya kawaida haviwakejeli watumishi.Na je huyo mtumishi wa redio yao wanafikiri anakubaliwa na wote?
Unaakili timamu wewe...???Wanatumia biblia kujadili ? Hili ndiyo swali kama msingi wai wa kujadili upo ktk biblia hapo sawa kama hawana back up ya biblia watakuwa nao hawapo sawa
Unazijua amri kumi alizopewa Musa awape wana wa israel?Hivi karibuni nimekuwa nafatilia vipindi vyenu! Mnafanya vzr vipindi vingine lkn kuna kipindi Fulani kinaitwa meza ya busara na kuna kikundi Fulani kimetengenezwa na mnaemfahamu kuwajadili watumishi wa Mungu mbali2 wakiwemo mitume na manabii kwa kejeli nyingi sana na kuruhusu hadhila yaani umma wa wapiga simu uwahukumu watumishi mbali2 nataka niwakikishie hiyo sio kazi yenu! Na mkiendelea hivo mtakosa mvuto kabisaaaaa!
Pia kuna kakikundi Fulani kazi yao ni kujadili watumishi wanatakiwa watumikaje kwa kifupi ni kakikundi kakudhibiti mfumuko wa mitume na manabii kametengenezwa na MTU ili pengine kasiwe tishio kwa kanisa fulani kwa sasa na siku za usoni! Sio sawa!
Ninamengi lkn Leo niishie tu kuwaonya mmeshapoteza maelfu kwa hizo tabia zenu!
Nataka niwaambie bosi anayewaita watumishi wa Mungu ni mmoja naye ni Mungu huyo huyo aliyemwita hata bosi wenu kama kuna watumishi mnawaona wameitwa na shetani sio kazi yenu kuhukumu mwachieni anayeita watu ahukumu yy!
Kwasababu ninyi hamumjui mtu aliyeitwa na Mungu au shetani! Ili kulishinda giza fundisheni kweli ya Mungu yenye nuru sio misimamo binafsi ambayo sio neno la Mungu!
Msiuchie ulimwengu uje uwanange wachungaji au mitume au manabii nk hadharani tena na watu wasiomjua Mungu kisa tu mnataka msipungukiwe na waumini, uhalali wa chombo chenu unaondoka kwenye mstari hiyo kazi mwachieni Mungu! Mwambieni bosi wenu asome LUKA 9:50
Mkitaka kuwadhibiti hawa mitume, manabii, ambao ndio mwiba kwenu aandaeni kongamano kubwa la watumishi wa Mungu woote mje muweke mezani hoja zenu ijulikane manabii wapo au hawapo!
"USIMUACHE MWANAMKE MCHAWI KUISHI"Unaakili timamu wewe...???
Wewe hujui kwenye Biblia hiyo hiyo kuna verses zinahalalisha kuua...???
Biblia haisomwi na makengeza, inajiamulia kuisoma biblia tuu....utaumia
Naona una hisa kwenye "Unabii" na "Utume"Nimekusoma vizuri sana mifano ipo sijasikia radio upendo au radio maria au tumaini wana kazi hii inayofanywa na wapo radio kwa juhudi kubwa! Ni ngumu MTU kukubalika na kila mtu
Labda ungesema sifa za mtumishi wa Mungu sio nabii peke yake kuna makundi mawili tu ya watumishi wa Mungu yaani wale wenye wito mkuu na wale wanaotegemeza au kusaidia utendaji wa huo wito mkuu yaani Huduma tano! Wote wanafungwa kwenye kifungo kimoja tu cha sifa za utumishi! Sitaki niende huko but kasome biblia maana jibu ntakalokupa sina hakika kama utanielewa sifa kuu ni upendo, utakatifu na kuwa kielelezo kwa wale wanaokufuata! Hii ni kwasababu kila mtumishi ana kasoro ukianza kuchambua hutaweza hata Yesu hakukubalika na kila mtu lakini alikuwa kielelezo kwa wafuasi wake!Naona una hisa kwenye "Unabii" na "Utume"
Ili tuende sawa tueleze sifa za nabii zinazoainishwa na biblia (tutamtambuaje kuwa ni nabii wa Mungu na wala sii nabii wa uongo)
Imani yako iwe kwa Bwana Yesu tu. Mitume yote sio ya kuiamini kuanzia yule Mtume wa nyota na mwezi na Mitume mingine yoteNope ila wanatuharibia sana sisi tunaowaamini hao manabii wengine wametutoa mbali sana tusingependa wakejeliwa
Tutamjuaje kuwa huyu sii nabii wa uongo?Labda ungesema sifa za mtumishi wa Mungu sio nabii peke yake kuna makundi mawili tu ya watumishi wa Mungu yaani wale wenye wito mkuu na wale wanaotegemeza au kusaidia utendaji wa huo wito mkuu yaani Huduma tano! Wote wanafungwa kwenye kifungo kimoja tu cha sifa za utumishi! Sitaki niende huko but kasome biblia maana jibu ntakalokupa sina hakika kama utanielewa sifa kuu ni upendo, utakatifu na kuwa kielelezo kwa wale wanaokufuata! Hii ni kwasababu kila mtumishi ana kasoro ukianza kuchambua hutaweza hata Yesu hakukubalika na kila mtu lakini alikuwa kielelezo kwa wafuasi wake!