Hizi ndiyo picha wanazotengeneza chadema
Vita sio nzuri kabisa. Jana nilikuwa naangalia BBC nikaona wale waliofanikiwa kugota nchi kavu ulaya na kupokelewa wote waume, wake na watoto "Walipiga magoti na kumshukuru Mungu kwa machozi." Niliumia sana ... Niseme tu, Mungu awarehemu, Mungu aturehemu sote.
Hizi ndiyo picha wanazotengeneza chadema
kweli kabisa mkuu ni jambo la huzuni sana....Na juzi rais hasad kawapulizia sumu ya chlorine wananchi wake....watoto wamefariki bila ata kuwa na jeraho...nliangalia mpaka chakula kikagoma kipita....vita sio kitu cha kushadadia ata kidogo
Ibilisi umeamuka? Kafie mbali na ushetani wako!. Shenzi firauni wwe mwanaharamu usiyekuwa na moyo!. Pumbavu.
Na kama na wewe uko miongoni mwao wewe nakuombea ufie baharini hata ukifika ufukuzwe. Pumbavu nyamafu!.
Mbona wanaenda mbali huko kote? Ina maana nchi za kiarabu haziwezi kutoa hifadhi kwa waarabu wenzao?
You, FaizaFoxy, kahtaan and Isac M like this.Vita sio nzuri kabisa. Jana nilikuwa naangalia BBC nikaona wale waliofanikiwa kugota nchi kavu ulaya na kupokelewa wote waume, wake na watoto "Walipiga magoti na kumshukuru Mungu kwa machozi." Niliumia sana ... Niseme tu, Mungu awarehemu, Mungu aturehemu sote.
Mh! Nimeona UN wameingilia kati kuchunguza.kweli kabisa mkuu ni jambo la huzuni sana....Na juzi rais hasad kawapulizia sumu ya chlorine wananchi wake....watoto wamefariki bila ata kuwa na jeraho...nliangalia mpaka chakula kikagoma kipita....vita sio kitu cha kushadadia ata kidogo
Tuombee taifa letu pia. Kuna watu wanahisi wanaweza ku take advantage of the current situation.
Ungekuwa na Elimu kidogo tu ungeweza kutambua kuwa Kuna wakimbizi zaidi ya Milion 25 kutoka Huko.
Hao waliokwenda Europe hawafiki hata Milion 1.
Lebanon wameingia wakimbizi zaidi ya Milion 3.
Saudi arabia kuna wasyria zaidi ya Laki 5.
UAE kuna Waliokimbia vita zaidi ya milion.
Huko hawaitwi WAKIMBIZI bali wanaitwa wageni walio haribikiwa.
Waislamu sio kama makafiri.
Ukiingia Nyumba ya Muislamu unaitwa Mgeni.
Ukiingia ya Mkafiri unaitwa Mkimbizi.
Tazama japo Tv Utaelimika.
Hizi ndiyo picha wanazotengeneza chadema