Wapishi wangu feki sana

Wapishi wangu feki sana

Nipo Facebook, several times watu wameniuliza kama nina kazi ya kuwapa.
 
Mama Maria Nyerere ( leo) anasema (jana) allfika mtu akamwambia ,"Hii nyumba ni ya serikali." Anasema,"Huyu mtu amenichanganya sana akili na maneno yale"

Kwa hiyo unaona,na mawazo kama hayo",Hii nyumba ni ya serikali ", huwezi kupata yeyote akuheshimu hapa

Pia unaweza kuona kwa nini viongozi wanaingia madarakani, wanafanya mashindano kuiba hela za serikali,kwa sababu wanaogopa siku moja wataambiwa,"Hii nyumba unayoishi ni ya serikali"
 
Kwa mfano,sasa hivi namuona shamba kalala usingizi.
Nikienda pale kumwambia aende nyumbani,nitakuta kwamba ameshapataaelekezo jinsi ya kunijibu,hawezi kuondoka kwa sababu time ya kuondoka haijafika .

And this is THE MAIN PROBLEM IN THIS HOUSE.Huyu mfanyakazi kusema hawezi kuondoka kwa sababu muda wake wa kuondoka haijafika.

This is very bad,kwa sababu kupumzika ni kumfukuza mfanyakazi. By definition,kama unataka kupumzika mahali popote,unamwambia mfanyakazi,Acha vifaa vyako vya kazi,simama,ondoka,nisikuobe hapa,nisikuobe anywhere near hii

Lakini mtumishi anataka kunasa ndani ya nyumba kama bigjee.
 
Huelewi nimeandika nini?

Ngoja nikupe definition ya hypnotism.

"Hypnotism is a state of heightened awareness.
The hypnotized person is not aware of anything except the person who has hypnotized him
The hypnotized person does not know the difference between right and wrong."

Kwa hiyo you must be wary of people who want you to see nothing else but them.

Tuna matatizo hata wageni walifika wanafukuzwa because of " security concerns". Sijui mechi ya Simba na Yanga inalindwa vipi.

Kwa hiyo we are being deliberately being kept away from everybody else. All sorts of foolish reasons of given.

Inafanana na solitary confinement in prison wanayofanyiwa hardcore gangsters.

Au mambo anayelalamika Tundu Lissu.

People cannot seem to understand that we might be tired of looking at their fxxxxxx faces,kwa hiyo they chase all visitors away .
 
Back
Top Bottom