Wapinzani wata 'seize the moment'?

Wapinzani wata 'seize the moment'?

Usitegemee watawala kuridhia katiba mpya itakayowapunguzia ulaji waikubali kirahisi rahisi tu.
 
Shida moja kubwa ya upinzani Tanzania ni kutojua kipi wanataka kwanza..

Kwa mtu mwenye akili kitu cha kwanza kabisa Kwa wapinzani ni Tume huru ya uchaguzi...na wala sio serikali tatu..

Tume huru ndo itawapa nafasi ya kuongoza na kubadili chochote wanachotaka..lakini Kwa wanaokumbuka
Ule mchakato wa Katiba Mpya... wapinzani walitoka na kususa Kwa kipengele kimoja Tu cha serikali tatu...
Hawakutaka hata kujadili kipengele cha Tume huru ya uchaguzi.....ambacho ndo muhimu kuliko vyote....

Binafsi naamini chini ya Samia kunaweza tokea 'New opportunity' ya kufanya marekebisho ya katiba au hata Katiba Mpya...

Kihistoria Viongozi wanaotoka Pwani na Visiwani huwa wanaacha Uhuru wa kisiasa
Na hata mawazo mapya ya Katiba Mpya hupewa nafasi ..... swali kuu hapa wapinzani wataweza kutumia nafasi na kukumbuka kipi cha muhimu zaidi kwao??

Au itajirudia Yale yale???
hii ninafasi nzuri wajaribu kucheza na Madame akiingia King bas waende nae sawa,,,,,moja yakitu kinapa moyo yey ni mzenji nakama nimzenji ina mana yeye hapendi serikali tatu ?? Kama anapenda n'aimani atatumia vizur hii chance ngoja tumpe kamda kidogo tujue mlengo wake
 
Back
Top Bottom