wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 776
Mimi nimekuwa napata taarifa nyingi hasa. Chanzo ni marafiki zangu waliopo nafasi za juu kabisa.
In short, katika wote hao, hakuna hata mmoja anayefurahia au kuunga mkono yanayoendelea. Siwezi nikatoka hadharani kutangaza, kwa sababu ya usalama wa kazi wa marafiki zangu maana nyingine ukizitoa tu, hata bila ya kutaja majina yao, itajulikana ni wao waliovujisha.
Tunajua maovu yote pamoja na yanayopangwa. Wengi wanasikitishwa sana na uwepo wa kikundi cha maharamia ndani ya taasisi, na kikundi hicho ambacho hakina mafunzo yoyote, ndicho kinachoaminiwa sana. Hicho ndicho cha watekaji, wapotezaji na watesaji. Uzuri, wote wanafahamika, na wanaongozwa na mtoto wa baba mwenye kujifanya mcha Mungu ilihali ni shetani wa mauaji, utekaji na utesaji.
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa
Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open
Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
Na umri huu sijawahi ona hata ukurasa mmoja wa nyaraka hata moja tu ilioandikwa na TISS
Mkuu kweli hakuna Siri ya watu wawili ila hivi vyombo vya kijasusi Siri ndio uti wa mgongo wao, wafanyakazi wa vyombo taaluma na mafunzo yao imeegemea katika kuweka Siri, kufanya majukumu yao ya usiri yaani Siri Siri mpaka mwishoHakuna siri ya watu wawili
Kwa kua unajua hivyo sawa jitahid uende shule vinginevyo utasuguliwa mtaro na polepole mpaka uote sugu shaur yako ohooooooo.Hii ripoti waliyonayo wapinzani ni ya Tanzania Interbank Settlement System (TISS)
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa
Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open
Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
Thibitisha haya maneno yako TISS ni idara nyeti hakuna mtu anaweza kupata informationKama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa
Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open
Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa
Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open
Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
Acha upuuzi wewe huna uwezo wakupiga TISS umepiga mlevi mwezako[emoji23][emoji23] umenikumbusha Mzee flani nlimtwanga makofi alileta ujinga anajifanya usalama nikwamwambia labda usalama wa mama ako.
Jiulize kwanza swali dogo tu. MPINZANI NI NANI ukishajijibu hill swali utakuwa umeelewa. Sisi sote ni watanzania na hatulingani kimawazo ila Tanzania ni nchi yetu wote.Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa
Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open
Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
under Magufuli regime na kwa fikra za Magufuli,wewe kama hauko ccm si MtanzaniaAkili za watz bado sana. Kwani wapinzani sio wananchi wa nchi hii? Tanzania kitu ambacho tunajua sana ni ukitimba, chuki na bureaucracies. Hao unaowataja ni usalama wa taifa.
Mkuu unashangaa TISS kuvujisha siri, mimi nadhani ni mfumo mzima umekengeuka, mfano hata ma Dokta, viongozi wa dini,polisi nk peleka taarifa yako ya siri halafu uje unipe mrejeshoKama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa
Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open
Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?
Samurai wewe ni mshenzi sana ebu agizia chochote hapo nitalipiaWaswahili hunena
"siri ni mali ya mtu mmoja"
Kijana wa kiume ukigongwa haiwezi kuwa siri tena labda umuue aliyekugonga muda huo huo, ila ukipiga punyeto inaweza kuwa siri yako..
Samurai wewe ni mshenzi sana ebu agizia chochote hapo nitalipia