Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna ripoti ya TISS inasema Chadema wangeshinda ule uchaguzi na wanayo hiyo ripoti (wao wapinzani) cha ajabu huo uchaguzi Chadema walishindwa
Leo hii Zitto nae anasema kuna ripoti nyingine ya TISS inasema Magufuli atashindwa uchaguzi , swali ni Je hawa wapinzani wanapataje hizi ripoti sababu TISS wako ofisi ya Rais na ni chombo cha dola ambacho kinafanyia kazi gizani(duniani kote iko hivyo) na haitokei kikafanya kazi open
Wanapataje hizo ripoti? Hawaoni aibu kuwadanganya wananchi danganya toto ?