Duh!Haikosi weye ni wale wale mnaopinga kila kitu chema. Ulitaka waonesheje hisia zao zaidi ya kutoka nje?? Kule ni EALA huku kwetu ni Mjengoni. Kuna tofautim kubwa. Waliotoka ni Tanzania sio wapinzani.
Wapinzani ni nani?Haikosi weye ni wale wale mnaopinga kila kitu chema. Ulitaka waonesheje hisia zao zaidi ya kutoka nje?? Kule ni EALA huku kwetu ni Mjengoni. Kuna tofautim kubwa. Waliotoka ni Tanzania sio wapinzani.
Ukiweza kuzielewa akili za wanawake basi unakaribia kuwaelewa ccm...
Elimu nzuri ya awali huanzia nyumbani kwenu. Hii ina maana hawa Wabunge hawa wemejifunza toka nyumbani kwao kuwa kutoka nje ni njia mojawapo yakutokuunga mkono jambo fulani. Na kwakuwa kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna Demokrasia ya kweli basi kutoka kwao kulionyesha mapungufu ya kisheria ktk kupitisha muswada ule bila wao.Haikosi weye ni wale wale mnaopinga kila kitu chema. Ulitaka waonesheje hisia zao zaidi ya kutoka nje?? Kule ni EALA huku kwetu ni Mjengoni. Kuna tofautim kubwa. Waliotoka ni Tanzania sio wapinzani.
Wapinzani Tz ni wale wabunge (Kule mjengoni) wanaopinga kila kitu huku Tz. Kuanzia makinikia hadi mikataba feki. Wao watapinga kuwa ni hallal. Wao watasema hata kitaifa hawataki maji ya Viktoria yanywewe pale Singida. Hao ndo wapinzani. Haya swalim jingine?
Na huko EALA wapinzani ni nani?Wapinzani Tz ni wale wabunge (Kule mjengoni) wanaopinga kila kitu huku Tz. Kuanzia makinikia hadi mikataba feki. Wao watapinga kuwa ni hallal. Wao watasema hata kitaifa hawataki maji ya Viktoria yanywewe pale Singida. Hao ndo wapinzani. Haya swalim jingine?
Nadhani hawa wabunge wa huko EALA waliambukizwa kirusi hicho cha kutoka nje ya bunge na wale waliotoka upinzani huku kwetu. Wana hizo silika kindakindakiElimu nzuri ya awali huanzia nyumbani kwenu. Hii ina maana hawa Wabunge hawa wemejifunza toka nyumbani kwao kuwa kutoka nje ni njia mojawapo yakutokuunga mkono jambo fulani. Na kwakuwa kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna Demokrasia ya kweli basi kutoka kwao kulionyesha mapungufu ya kisheria ktk kupitisha muswada ule bila wao.
Kwa hapa nyumbani wabunge wa ccm na spika wao hutumia ule msemo usemao "ukisusa wenzio twala" na kwakuwa Demokrasia ndiyo hivyo tena hapo Mjengoni basi Bunge hugeuka kuwa la chama kimoja na kila muswada utipitishwa kwa mbwe mbwe. Na baada ya muda fulani utasikia serikali imeurudisha muswada ule kwa hati ya dharura kufanyiwa marekebisho.
Kifupi ni kwamba ccm ni janga ktk Taifa letu.
Sent using Jamii Forums mobile app
7,800 unaitafutia wapi leo?Jana wabunge wa EALA kutoka Tanzania wametoka nje ya bunge wakipinga sheria ya ushuru wa forodha ,na ikumbukwe wabunge wengi EALA kutoka Tanzania ni wametokana na ccm na wamechaguliwa na bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Wabunge wa ccm walikuwa wanatumia lugha ya kejeli,maudhi,dharau dhidi ya wabunge wa upinzani pale walipokuwa wanatoka bungeni wakipinga jambo fulani
Hata wanaccm nje ya bunge hawakuwa nyuma kuwatolea lugha chafu wabunge hawa waliosusia vikao
Ushauri mara nyingi ulikuwa wabunge wa upinzani hawapaswi kuondoka bungeni inapaswa wapambane humo humo mpaka kieleweke kuliko kutoka nje
Je hawa wa EALA wameshindwa kupambana humo humo mpaka kieleweke badala ya kutoka nje?
Na cha ajabu mpaka kiti cha Spika Ndugai kilikuwa kinawakejeli wabunge wa upinzani waliosusia vikao
Lakini sijaona wale wakosoaji wa wabunge nje wakiandika na wakikejeli wabunge wa EALA kususia vikao vya EALA ,badala yake wamepongezwa
Nimeamini kwa akili hizi walizonazo watanzania, tuna miaka milioni kujitambua
Tunafanya ushabiki wa kipumbavu sana kwa mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko EALA hakuna wapinzani ila ka nilivyotangulia kusema; Hawa wa kwetu walichaguliwa kutokana na vyama vyao hivyo wale wa chama kikuu wameambukizwa sasa kirusi cha kupingapinga hata yaliyo mema.
Kama ndivyo iweje basi huku home waonekane mashujaa?? CCM kila wakati tunasema hawajitambui. Kwao ushabiki ni bora sana kuliko hoja.Nadhani hawa wabunge wa huko EALA waliambukizwa kirusi hicho cha kutoka nje ya bunge na wale waliotoka upinzani huku kwetu. Wana hizo silika kindakindaki
Changia mada acha upumba.....v tofautisha jukwaaa pim.....7,800 unaitafutia wapi leo?
Unaouita ushabiki kwetu tunauita UMOJAKama ndivyo iweje basi huku home waonekane mashujaa?? CCM kila wakati tunasema hawajitambui. Kwao ushabiki ni bora sana kuliko hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana wabunge wa EALA kutoka Tanzania wametoka nje ya bunge wakipinga sheria ya ushuru wa forodha ,na ikumbukwe wabunge wengi EALA kutoka Tanzania ni wametokana na ccm na wamechaguliwa na bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Wabunge wa ccm walikuwa wanatumia lugha ya kejeli,maudhi,dharau dhidi ya wabunge wa upinzani pale walipokuwa wanatoka bungeni wakipinga jambo fulani
Hata wanaccm nje ya bunge hawakuwa nyuma kuwatolea lugha chafu wabunge hawa waliosusia vikao
Ushauri mara nyingi ulikuwa wabunge wa upinzani hawapaswi kuondoka bungeni inapaswa wapambane humo humo mpaka kieleweke kuliko kutoka nje
Je hawa wa EALA wameshindwa kupambana humo humo mpaka kieleweke badala ya kutoka nje?
Na cha ajabu mpaka kiti cha Spika Ndugai kilikuwa kinawakejeli wabunge wa upinzani waliosusia vikao
Lakini sijaona wale wakosoaji wa wabunge nje wakiandika na wakikejeli wabunge wa EALA kususia vikao vya EALA ,badala yake wamepongezwa
Nimeamini kwa akili hizi walizonazo watanzania, tuna miaka milioni kujitambua
Tunafanya ushabiki wa kipumbavu sana kwa mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nichangie kwani mimi nahanja na wadangaji? 7,800 sina