Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,944
- 51,080
- Thread starter
-
- #81
.....mlizungumzia usafirishaji wanyama hai nje ya nchi, msafirishaji kaja huko na ajabu, mmempokea kwa uzinduzi na vigelegele !Imezuka hoja hapa JF kwamba CCM kuendelea kwake kuwa madarakani ni kwa sababu Tanzania tuna vyama vya upinzani dhaifu. inawezekana hoja hiyo ina ukweli fulani ndani yake lakini lazima wanaouona upinzani ni dhaifu watoe maoni yao ni nini kifanyike ili CCM ing'oke madarakani Tanzania ikibaki salama.
Wengine hatuuoni uimara wa CCM bali tunaona mabavu ya CCM kutumia dola dhidi ya vyama vingine vya siasa. Leo hoja kubwa kwamba upinzani ni dhaifu ni madai kwamba wameiacha hoja "yao" ya ufisadi.
Lakini ni kweli kuwa Upinzani wameacha hoja yao ya kupiga vita ufisadi? Hivi kuna tofauti gani ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya Lugumi kama ilivyokuwa kwa EPA ama Tegeta Escrow? Wakati ajenda ya wapinzani ilipokuwa kupiga vita ufisadi, CCM walifanya nini tofauti na sasa?
Lowassa aliitwa fisadi Pale Mwembe Yanga kwa kuvunja mkataba kati ya City waters na Dawasa, leo wapinzani wakizungumizia kuhusu Bombadier, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, matumizi nje ya bajeti,kukopa fedha kinyemela inaonekana hawazungumzii ufisadi, ni kwa nini?
Yeye hakuwa waziri wakati ule! Au?.....mlizungumzia usafirishaji wanyama hai nje ya nchi, msafirishaji kaja huko na ajabu, mmempokea kwa uzinduzi na vigelegele !
....nikuulize wewe, hamna kumbukumbu ya mambo yake ? Muulize Nasari kwa msaada zaidi.Yeye hakuwa waziri wakati ule! Au?
Tangu lini alianza kuwa Nungayembe?, m'mebaki mnahangaika na manunga yembe.
Toka secondary yupo ccm, kafanya ubunge four terms na ccm, leo aje chadema ! (nunga yembe ni zee lililo suswa !)Tangu lini alianza kuwa Nungayembe?
Hapa hakuwa Nungayembe?
JIBU SWALINUYUMBU WE, MNYIKA ALITUDANGANYA? NA ILE LIST OF SHAME MMEIPELEKA WAPI?Acha uzwazwa, yaani ushahidi wa ufisadi wa Lowasa awe nao Mnyika lakini sio vyombo vya dola? Mwambieni Mnyika awape huo ushahidi mtimize nia yenu ya hovyo, chuki na kutenda kishamba!
Mjinga wahedi, unang'ang'ana na Mnyika kwani yeye ndiye ulimpa kura ili akujengee mahakama ya mafisadi? Mnyika ndiye mwenye dola anayeshughulika na mafisadi? Acha umbumbumbu!JIBU SWALINUYUMBU WE, MNYIKA ALITUDANGANYA? NA ILE LIST OF SHAME MMEIPELEKA WAPI?
Duh mkuu umeniacha hoi hata ACT huikubali maana imerithi sera za TANUTanzania kuna chama kimoja tu cha siasa, siku tukipata chama kingine tutaona namna ya kubadilisha, mengine haya ni magenge ya wanaharakati yenye wafuasi
UNADHIHIRISHA UNYUMBU JIBU SWALI. MNYIKA ALIKUWA MUONGO NA LIST OF SHAME ILIKUA YA UONGO?Mjinga wahedi, unang'ang'ana na Mnyika kwani yeye ndiye ulimpa kura ili akujengee mahakama ya mafisadi? Mnyika ndiye mwenye dola anayeshughulika na mafisadi? Acha umbumbumbu!