Wapinzani wa Tanzania Vigeugeu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Sijawahi kuona pale timu inapo jifunga yenyewe kisha ile timu iliyo saidiwa kufunga goli inaandamana hata kumpigiga refa eti goli sio halali.

Mfano Man united inacheza na mahasimu wao wakubwa Asernal. Bahati Mbaya wachezaji wa Man United wakaanza kupiga mashuti golini kwao, mashuti makali si ya kitoto ambayo hata wachezaji wa asernal wasinge weza piga mashuti kama hayo. Na kila wakati mpira ukifika golini wao ni kufunga golini kwao . haaa

Cha ajabu unashangaa asernal ndio wanalalamika eti refa unapendelea mbona umewaacha man united wanajifunga wenyewe wakati huo ubao unasoma:

Man united 0-5 Asernal

Lakini magoli yote yamefungwa na Man U wenyewe.

Inafika dk ya 65 baada ya kuona magoli yote wamesaidiwa wanaamua kutoka uwanjani kupinga ushindi wa kusaidiwa.

Sasa nirudi hapa kwetu tz.

Miaka mingi hawa wanao jiita wapinzani wamekuwa wakilalamika sana ooh Rais anasafiri sana , matumizi yamezidi. wakaja na swala la ubadhilifu. wakaja na watendaji wabovu wanataka wawajibishwe.. etc

Serikali ya 5 imekuja kujibu maswali yao hata zaidi ya vile walivyo omba lakini eti wanaandamana ooh sijui Rais mbona haafiri, anaogopa wadhungu.

Ivi nyie wapinzani ni lini mtaacha kuwa vigeugeu. Au tuache kuwaita wapinzani tuwaite VIGEUGEU.

Kama Magufuli ameamua kuwa upande wenu shangilieni hata kama goli hamjafunga nyie, sioni shida hapo.

Mtu mzima unatumia muda wa bunge kutaka Rais asafiri wakati jimboni kwako hakuna maji. Afadhali ya yule aliye taka bangi iwe zao la biashara.

Rais ametumbua majipu yote hata yale ambayo nyie kwa kukaa upinzani miaka yote mmeshindwa kuyatambua , eti oohh Rais hatumbui vizuri majibu.

Naanza kupata wasiwasi kwamba inawezekana huko upinzani ni kichaka mnaogopa asije akaibukia huko mkaabika.

Hamuoni mnajipinga wenyewe.

Nawashauri tafuteni agenda nyingine zenye maslahi ya umma na tunaomba mshaingilie maana huu ni ushindi wenu mnoo la sivyo 2020 mtauliwa.

asanteni.
 
Wapinzani ni taputupu na wengi ni vigeugeu baba rz1 alituchosha na safari wapinzani wakalalamika magu ana siku 100 hajasafiri wanalalamika na safari za nje zingekuwa zinatajirisha awamu ya nne uchumi wetu ungepaa.
 
Sijawahi kuona pale timu inapo jifunga yenyewe kisha ile timu iliyo saidiwa kufunga goli inaandamana hata kumpigiga refa eti goli sio halali.

Mfano Man united inacheza na mahasimu wao wakubwa Asernal. Bahati Mbaya wachezaji wa Man United wakaanza kupiga mashuti golini kwao, mashuti makali si ya kitoto ambayo hata wachezaji wa asernal wasinge weza piga mashuti kama hayo. Na kila wakati mpira ukifika golini wao ni kufunga golini kwao . haaa

Cha ajabu unashangaa asernal ndio wanalalamika eti refa unapendelea mbona umewaacha man united wanajifunga wenyewe wakati huo ubao unasoma:

Man united 0-5 Asernal

Lakini magoli yote yamefungwa na Man U wenyewe.

Inafika dk ya 65 baada ya kuona magoli yote wamesaidiwa wanaamua kutoka uwanjani kupinga ushindi wa kusaidiwa.

Sasa nirudi hapa kwetu tz.

Miaka mingi hawa wanao jiita wapinzani wamekuwa wakilalamika sana ooh Rais anasafiri sana , matumizi yamezidi. wakaja na swala la ubadhilifu. wakaja na watendaji wabovu wanataka wawajibishwe.. etc

Serikali ya 5 imekuja kujibu maswali yao hata zaidi ya vile walivyo omba lakini eti wanaandamana ooh sijui Rais mbona haafiri, anaogopa wadhungu.

Ivi nyie wapinzani ni lini mtaacha kuwa vigeugeu. Au tuache kuwaita wapinzani tuwaite VIGEUGEU.

Kama Magufuli ameamua kuwa upande wenu shangilieni hata kama goli hamjafunga nyie, sioni shida hapo.

Mtu mzima unatumia muda wa bunge kutaka Rais asafiri wakati jimboni kwako hakuna maji. Afadhali ya yule aliye taka bangi iwe zao la biashara.

Rais ametumbua majipu yote hata yale ambayo nyie kwa kukaa upinzani miaka yote mmeshindwa kuyatambua , eti oohh Rais hatumbui vizuri majibu.

Naanza kupata wasiwasi kwamba inawezekana huko upinzani ni kichaka mnaogopa asije akaibukia huko mkaabika.

Hamuoni mnajipinga wenyewe.

Nawashauri tafuteni agenda nyingine zenye maslahi ya umma na tunaomba mshaingilie maana huu ni ushindi wenu mnoo la sivyo 2020 mtauliwa.

asanteni.
I cant say more!!!!
 
hahaha wenyewe wanaita wanabadili gia angani, wakiongozwa na luten mbowe
 
Kigeugeu ni babako
 
Hi

Sijui una umri gani? Hivi kweli mtu na akili zako timamu unaandika ulichoandika! Hivi mfano mwanao anasoma ulichoandika atakuchukuliaje? Soma ulichoandika kabla ya ku-send!
 
unajua kichaa akiona mtu mwenye akili timamu kwake yeye huyo ni kichaa..
 
Back
Top Bottom