VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Nimewafuatilia sana siasa hususani toka Dr. John Magufuli toka awe President. nakumbuka kwenye kampeni zake alikuwa akisisitiza utumishi uliotukuka pindi atakapochaguliwa kuwa rais! Alisisitiza sana kuhusu watumishi wa serikalini kuwa wao ndiyo wanaowafanya wananchi waichukie serikali kwa hill halina ubishi.
Nakumbuka enzi hizo ukienda hospital bank nakwingineko ilijaaa rushwa huko bandarini mamaaaa ndo usiseme nako TAKUKURU ndo kulizidi uvundo.Mungu amejibu kilio cha wanyonge wengi ambao walikosa huduma kwa kigezo cha wao kwasababu ya umasikini wao.
Kwa sasa mwananchi wa hali ya chino ndiye boss yes mwananchi wa hali ya chini kipindi cha magufuli ana sauti kubwa sana!Magufuli hataki maisiahala aisee hapendi watumishi wanaojilimbikizia mali hapendi wakwepa kodi na nchi imefikia hatua ya kujigamba kwa kujitegemea yenyewe kuendesha miradi yake kusanyo la kodi la kila mwezi linaongezeka kila mwezi!
Sasa na wapinzani eti wanataka rais apunguze kutumbua majipu? This is nonsense 100% Sugu eti hooo wafanyakazi wanafukuzwa kazi ? Jamani sasa kama huyo mfanyakazi siyo mwadilifu achekewe tu?
Halafu akina Sugu hawahawa ndiyo walikuwa wanalalamika kuwa CCM ni wazembe kwa kutosimamia maslahi ya taifa? Huu nao ni upumbavu wa wapinzani.