Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Tutawatambuaje hao wapiga kura wa upinzani? Au mmepànga kuvaa gwanda zenu siku ya kupiga kura?Wajue fika hoja kuu mbali ya nani agombee nafasi gani kwenye huo uchaguzi ni tume huru ya uchaguzi. Hakuna tume huru ya uchaguzi, wasitegemee kutuona sisi wapiga kura wa upinzani tunaojitambua kushiriki huo uhuni.
Tutawatambuaje hao wapiga kura wa upinzani? Au mmepànga kuvaa gwanda zenu siku ya kupiga kura?
Ripoti ya idadi ya wanachama wa CCM inaonesha kuwa CCM kina wanachama zaidi ya mil 18 nchi zima ukiachilia mbali wanachama wa idara zake kama UVCCM ,UWT na WAZAZI kwa mantiki hiyo kama wakijiandikisha watu milion 20 ,CCM Ina uhakika wa kura mil 18 sawa na 90%
Kamanda tulia dawa iwaingie, uchaguzi wa mwaka huu utaacha kilio kikubwa ufipa na kuanzia 2021 ofisi za ufipa zitakuwa mazalia ya ñdege na viumbe vingine hatarishi
Kuelekea 2020 ipi tena zaidi ya hii ? Mnakaririshana sana mpaka mnashindwa kuchuja kwa umakini taarifa mnazoleta
Unatumia masaburi kwenye bandiko zako zoteTutawatambuaje hao wapiga kura wa upinzani? Au mmepànga kuvaa gwanda zenu siku ya kupiga kura?
Ripoti ya idadi ya wanachama wa CCM inaonesha kuwa CCM kina wanachama zaidi ya mil 18 nchi zima ukiachilia mbali wanachama wa idara zake kama UVCCM ,UWT na WAZAZI kwa mantiki hiyo kama wakijiandikisha watu milion 20 ,CCM Ina uhakika wa kura mil 18 sawa na 90%
Mkiambiwa ukweli nguvu yenu bado ni changa ya kuweza kukabiliana na CCM mnakuja na ngonjera oooh! CCM ilipunguza upana wa goli ,mara oooh! Ccm ilihonga refa, Mara ooooh! CCM iliweka mpira kwapani na kukimbia.

Tulieni tuingize dawa kwenye matundu ya miili yenu
ile barua ya USA kwa Magufuli kama uliiona basi ndio maandalizi yenyeweSpeaking of Uchaguzi Mkuu. Bila tume huru hata upinzani wanisimamishe nini hawashindi.