lawla
Member
- Jan 3, 2017
- 62
- 49
Hapo mwanzo wapinzani mlikuwa mnasema Kikwete awataje leo katokea mtu wa kuwataja mnalalamika. Nyie wapinzani tuwaalewe vipi lakini mbona hamna dira yoyote?
Pili mlikuwa mnalalamika tunataka Rais mwenye Maamuzi huyo Magufuli amekuja lakini bado mnalalamika ooooh Rais dikteta. Mbona mnakuwa vigeugeu?
Siku hizi ufisadi hamzungumzii kabisa, katiba mmeisahau nayo mliifanya kama issue ya msimu. CHADEMA inapata ruzuku kubwa tu lakini mmeshindwa kujenga hata ofisi za Chama, vipi maendeleo ya nchi mtaweza kweli?
Nyie kweli ni bendera Fata upepo, mwanzo hata hata Dr. Slaa alijua CHADEMA kina dira lakini mwisho wa yote wenye Chama wanafanya maamuzi yao. Leo Zitto Kawa mtu mzuri CHADEMA baada ya kuona Magufuli hana time naye, huu ni unafiki Sana.
Tafuteni hoja za msingi na endelevu ili wananchi wawaelewe sio hoja za msimu.