Wapinzani mnamsikia Yericko?

79be46fcabb1ea961a9ea660b1c4e693.jpg
Uyu si alisema hatopost siasa tena mpaka 2020 atakua anapost mpira ama na haya ni matokeo ya team gani
 
Hakuna chama cha upinzani cha kwenda ikulu kama viongozi wa vyama hivyo ndo wahalifu wakubwa ktk nchi hii
 
Mbona Umoja wa UKAWA 2015 waliangukia pua. Yericko tumeshamzoea na NDOTO zake za Mchana kama Bwana Yule Mzee wa Kuota.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom