Alikuwepo na babu yako piaYote hayo yatakapokuja wabayoyaleta waelewe kuwa nchi hii ni yetu sote, alikuwepo Mobutu, Iddi Amini, Saddam Hussein, Ghadafi lakini wote hao wako futi sita chini licha ya nguvu walizokuwa nazo
Mkuu nimekumbuka mbali sana!! Hakuna watu dhalili na walaaniwa kama waafrika!! Wazungu historia za nchi zao ziliwafunza sana kiasi cha kusonga mbele kidemokrasia na utawala bora... Ila sisi weusi haya yote hayatufundishi!! Nikikumbuka ujeuri na kibri ya Gadafi na kifo alichokufa... Nikimkubuka Idi amini... Mobutu seseseko.... Najiuliza watawala wa Afrika hawana la kujifunza huko?Yote hayo yatakapokuja wabayoyaleta waelewe kuwa nchi hii ni yetu sote, alikuwepo Mobutu, Iddi Amini, Saddam Hussein, Ghadafi lakini wote hao wako futi sita chini licha ya nguvu walizokuwa nazo
Keshapost ss wewe unataka nini? Tulia dawa iingie vizuriUyu si alisema hatopost siasa tena mpaka 2020 atakua anapost mpira ama na haya ni matokeo ya team gani
Wewe ukiwa unagombana na mwenzio gafla akatokea simba si itabid mshikiane kumuua simba kwanza mengine baadaeWanajiandaa kisaikolojia ili kumrudisha Zitto kundini baada ya kumuita Msaliti.
Uyu si alisema hatopost siasa tena mpaka 2020 atakua anapost mpira ama na haya ni matokeo ya team gani
Nyinyi uwa mnaiba kura hamna lolote, dawa yenu kura wangesimamia nchi za nje mngekua mmepotea 2015, idiothahahahaha hata wangefanikiwa kwenye nini kamwe hawawezi gusa ikulu.
Nyinyi uwa mnaiba kura hamna lolote, dawa yenu kura wangesimamia nchi za nje mngekua mmepotea 2015, idiothahahahaha hata wangefanikiwa kwenye nini kamwe hawawezi gusa ikulu.
Well said mkuuMimi ni mwanachadema ila huwa sipendi ushabiki maandazi. Leo unasema makonda ana deal na vidagaa na mapapa yanatajwa halafu unapinga. Kuna wakati unatamani kuachana na mambo ya siasa. Upinzani gani hu hauko serious?
Badala ya kujifunza njia nzuri za kuiondoa ccm kutoka Ghana,Gambia,et all lakini watu wanaleta ujinga ujinga tu. Huu ushabiki maandazi wa vyama mimi siwezi kuufanya. Ifikie mahali upinzani uwe serious. Mambo ya kufanya siasa za matukio na kutetea ujinga wauache.
Juzi kati hapa Yerricko kaanzisha harakati za kuvunja vunja lini za Vodacom,wafuasi maandazi walivunja line. Bnafsi siwezi kufanya huo ujinga. Na sitakaa nifanye kisa mhemko wa mtu mmoja nq mambo yake bnafsi. Kuwa mpinzani bongo inakubidi moyo uuvalishe unafiki na ukigeugeu. Huu ulikuwa ni wakati mzuri sana kwa cdm kuchukua nchi kutoka kwa maccm,lakini kwa vile upinzani hauko serious basi hata watawala wanaona aibu nchi kuigawa kwa wapinzani maana hawako serious.Well said mkuu
JF kuna maneno ati Njia ya chooni isiote majani!Sasa asipopost si atakula ' mawe ' Mkuu? Lazima apost ili Wahisani wake waweze kuona juhudi kisha mkono uende kinywani na njia ya chooni isiote nyasi.
Yote hayo yatakapokuja wabayoyaleta waelewe kuwa nchi hii ni yetu sote, alikuwepo Mobutu, Iddi Amini, Saddam Hussein, Ghadafi lakini wote hao wako futi sita chini licha ya nguvu walizokuwa nazo
Yote hayo yatakapokuja wabayoyaleta waelewe kuwa nchi hii ni yetu sote, alikuwepo Mobutu, Iddi Amini, Saddam Hussein, Ghadafi lakini wote hao wako futi sita chini licha ya nguvu walizokuwa nazo