Wapinzani mnamsikia Yericko?

Wapinzani mnamsikia Yericko?

Upinzani wangekuwa serious wangeungana vyma vyote....kusiwe na vyama vingi viwe viwili tu tawala na upinzani...la sivyo tutaishia maumivu tu
 
Ni kweli wajiandae wanalopanga kuja nalo.....kwa hao watu 2 hao plus Lisu....itakuwa kama Lema! Sijui ana nia gani na upinzani na watanzania!!! Yana mwisho tu!!
 
Kuua upinzani kwa nchi za Africa mbona ndo maendeleo!!?visasi vya mtu flani haviwezi kutuacha salama
 
Back
Top Bottom