ripoti zote lowasa hajatajwa duuh ccm muombeni radhiRais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.
Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.

Hivi lowassa na sumaye walisharudisha kadi za sisiemu??Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.
Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
usitutisheRais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.
Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
Hivi hili swala la Almasi na kuhusishwa kwa Mruma ni la muda gani? Alitumwa na serikali ya awamu ya nne? Au Magufuli ndiye kamtuma?
Rais John Magufuli akipokea ripoti za madini za kamati ya Bunge, alisema Prof Mruma alitumwa upande wa maadui ili kupata taarifa muhimu za maadui na kuzileta serikalini ( Undercover agent ) ili iwe kazi rahisi kuwamaliza.
Sasa na nyie wapinzani wa CCM kuweni makini na wanasiasa mnaowapokea wanaotoka CCM huwezi jua wengine wanatumwa kuja kuwamaliza wapinzani japo sio wote. Lakini leo hii hatuwezi kujua, Mfano Lowassa ni mpinzani au CCM japo haina umuhimu sana kujua ila nadhani ujumbe umefika.
ccm ni vigumu kuifanyia ujasusi, lkn vyama vya upinzani ni rahisi sana ccm kuweka watuUTAJUAJE NA WAO UPANDE WAO HAWANA MA AGENT CCM HUU MCHEZO KAMA RUSSIA NA USA JUST SIT BACK AND ENJOY THE SHOW
Sumaye na masha ni Agent wa ccmHivi lowassa na sumaye walisharudisha kadi za sisiemu??
Na kiukweli sasa hivi upinzani umeshaanza kuyumba sana!
Mkuu, Vijana wa chadema huwa hawataki kuamini ukweli huu,hata Slaa hakurudisha kadi na vijana haohao hawakuamini kama Jamaa atawasaliti na leo anakula raha CanadaMtu anadai yupo chadema wakati kadi ya ccm kaiweka chumbani kwake ili muda ukifika iwe rahisi ni kutangaza tu kwa sababu kadi ililipiwa hadi mwaka 2050.
Mwapachu alihamia chadema hakurudisha kadi yake alipoamua kurudi ccm kazi ilikua ndogo sana