Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Nahisi nae (Faiza) katumia njia ile ile ya JK alioitumia pale chuo juzi kati pale, alifikisha ujumbe kinamna na bi mkubwa nae ka copy style hiyo hiyo; mi nimemwelewa sana huyu mamaNafikiri ungemshauri JPM kwanza Bi Faiza.
Nahisi nae (Faiza) katumia njia ile ile ya JK alioitumia pale chuo juzi kati pale, alifikisha ujumbe kinamna na bi mkubwa nae ka copy style hiyo hiyo; mi nimemwelewa sana huyu mama
Lini wapinzani waliwahikuwa na AIBU?sasa si aibu tulivyomnanga wakati ule
Kijana hujamsikia Tundu na Lemaa wanavyomlilia JK?JPm ndio amfate kwanza.
basi ngoja tuone kama wataendaLini wapinzani waliwahikuwa na AIBU?
Kijana hujamsikia Tundu na Lemaa wanavyomlilia JK?
Kwa uwelewa wako unazani macomrade waikina mdee,mbowe,lisu na wengne hawalijui hilo la jinsi ya kwenda na mwenendo wa kisiasa hapa nchin au kuna nafasi umehaidiwa teyari?Kama nilivyowahi kuandika uzi huu, Shukran Rais Kikwete Kwa Kuwapa Darsa la Siasa Upinzani..., sasa nnawakumbusha tena upinzani kuwa warudi kwa Kikwete akawape darsa vipi wakabiliane na hali ya kisiasa inavyokwenda kwa sasa nchini. Na vipi wao kama upinzani wakabiliane nayo.
Kikwete ni muelewa na kwa kuwa sasa ni "mzee" mstaafu tena mwenye busara sana, ni wakati muafaka upinzani umuone ili wakwamuke walipokwama.
Kikwete ni kipenzi cha wote na nnauhakika upinzani mna mengi ya kujifunza kwake, msichoke nendeni mkachote.
Ikiwa ukisoma huelewi basi hata picha huoni?
Nendeni tu mkamuombe hikma zake na kudeka kama mlivyokuwa mkideka alipokuwa Ikulu.
Muelewa yule mzee,mi naimani naye anaweza saidia...maake dah! Ukijiajiri kelo,tra,polisi,traffic,sijui mammlaka gani zote zinakuja kutaka vibali,bei ya vibal na kodi sasa...unafunga ofisu unarudi nyumbani..ukiuliza ajira una ambiwa vumilia au jiajiri!! Kazi iposasa si aibu tulivyomnanga wakati ule
Hukumsikia Joyce Kileo anasema amemmiss dady yani Jakaya.basi ngoja tuone kama wataenda
ha hahah hatariHukumsikia Joyce Kileo anasema amemmiss dady yani Jakaya.
Lema ndio balaa
nguvu ya pesawamekurudisha tena kwenye payroll ya LUMUMBA?
kiukweli inaboaMuelewa yule mzee,mi naimani naye anaweza saidia...maake dah! Ukijiajiri kelo,tra,polisi,traffic,sijui mammlaka gani zote zinakuja kutaka vibali,bei ya vibal na kodi sasa...unafunga ofisu unarudi nyumbani..ukiuliza ajira una ambiwa vumilia au jiajiri!! Kazi ipo
Inaboa hatari,nchi inakuwa kama kaa la moto!kiukweli inaboa
tusubirie 2020 tumtoeInaboa hatari,nchi inakuwa kama kaa la moto!
Yani nimecheka kwa nguvu na kweli lisu anafuraha ya hatariLoh umeamua kuwakumbushia picha za juisi na chai ikulu? Hakika haya wanayakumbuka sana,na ndicho hasa wanacholilia, Tundu siku hiyo alikunywa vikombe zaidi ya 10 vya chai...muangalia anavyochekelea.