Wapinzani,huyu bwana akija katika majimbo yenu kwenye ziara zake msishiriki

Polee upinzani ulikuwepo before 2015 BT now hata tuliokua upinzani tumehama maana hamjielewi mnataka nn... Mmebaki kuchafua nchi tuu na siwafichi uchaguz wa 2020 ndo utakua rahisi kwa magu kuliko chaguzi yoyoye maana watu washawajua hamna nia ya kukomboa taifa ila MNA nia ya kuingia madaraka SAA cjui mkiingia itafanya nn maana tulichotaka kifanyike ndio kinafanyikaa. So all upinzani can kiss ma black ass

Sent using Jamii Forums mobile app
We kenge lini ulikua upinzani
 
Huyu bwana mnatakiwa mumuwekee msimamo na moja ya msimamo uwe na kutoshiriki ziara zake kwenye majimbo yenu.

Tambueni kaamua kupambana na nyinyi hivyo mteendeeni kulingana na matendo yake na si kulingana ni wadhifa wake vinginevyo itakula kwenu.

Mnachotakiwa ni nyinyi muwe msimamo mkali kama TAL ambae ameshaamua kula nae sahani moja (dawa ya moto ni moto).

Msimpe nafasi ya kujifanya anawatambua mbele ya wananchi ili hali ni adui yenu hivyo mjitenge nae hata kama atajisikia vibaya maana anapenda kuabudiwa.

Hii vita ni serous na ili mshinde, ni lazima na nyinyi muwe serious na muwe na misimamo isiyoyumba vingine itachukua muda mrefu kushinda vita hii.

Ninahakika TAL amelitambua hili na ndio maana harudi nyuma na wala hacheki nae hivyo na nyinyi mnapaswa kumuonyesha msimamo mkali.

Asiwadanganye mtu, kila mtu anamuhitaji mwingine na ndio maana huwa wanalalamika ikitokea baadhi yenu hamshiriki ziara zake.

Ni ushauri kutokana na hali halisi ya mambo kwa sasa.

Tambueni sometimes heshima huwa haiji hivi hivi.
Naunga mkono hoja
 
Si ushauri mzuri kwa hao uliowalenga, labda tu kama una nia ya kuwaharibia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawashangaa wapinzani huwa wanafuata nini kwenye ziara zake. Jamaa hajui siasa hivyo anatumia cheo chake kuwadhalilisha eti ndio anaona anaumaliza upinzani. Kwenye hizo ziara huwa ni sehemu ya kutafuta political milage huwa hamna jipya, anatakiwa aachwe na wanaccm wenzake wakashifu na kujisifia akimaliza achape mwendo.
 
Hasiposhiriki mpinzani atashiriki mamayake, babake, mkewe, mmewe, mwanae hata mkwewe kutoa shida zao kwani boss hanuniwi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao waende tena ikibidi waandike matatizo yao kwenye notebook ili wasiyasahau, lakini sio kiongozi wa upinzani. Matatizo ya wananchi hufuata proper channels Kama kwa diwani nk, hizo sifa za jukwaani waachiwe wanaojipendeza kwake.
 
Majibu murua kabisa!
 
tena ikiwezekana wawahamashishe na wanachama
jitu kenyewe liuwaji kwanza lishamba la nini kulisapoti?
 
Ushauri wa bwana juha, huwa haufanyiwi kazi. Una maarifa machache sana bwana mdogo, wakati mwingine sio lazima ulazimishe maji kupanda mlima.
 
Huyu bwana mnatakiwa mumuwekee msimamo na moja ya msimamo uwe na kutoshiriki ziara zake kwenye majimbo yenu.

Tambueni kaamua kupambana na nyinyi hivyo mteendeeni kulingana na matendo yake na si kulingana ni wadhifa wake vinginevyo itakula kwenu.

Mnachotakiwa ni nyinyi muwe msimamo mkali kama TAL ambae ameshaamua kula nae sahani moja (dawa ya moto ni moto).

Msimpe nafasi ya kujifanya anawatambua mbele ya wananchi ili hali ni adui yenu hivyo mjitenge nae hata kama atajisikia vibaya maana anapenda kuabudiwa.

Hii vita ni serous na ili mshinde, ni lazima na nyinyi muwe serious na muwe na misimamo isiyoyumba vingine itachukua muda mrefu kushinda vita hii.

Ninahakika TAL amelitambua hili na ndio maana harudi nyuma na wala hacheki nae hivyo na nyinyi mnapaswa kumuonyesha msimamo mkali.

Asiwadanganye mtu, kila mtu anamuhitaji mwingine na ndio maana huwa wanalalamika ikitokea baadhi yenu hamshiriki ziara zake.

Ni ushauri kutokana na hali halisi ya mambo kwa sasa.

Tambueni sometimes heshima huwa haiji hivi hivi.
Taratibu namba mliyoisoma inawashinda kuitambua! Chezea kaulimbiu ya hapa kazitu#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa, hana jipya amedanganya mpaka amechoka mwenyewe. Eti tz ya viwanda, hahahahahahahahahahahahahahahahaha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom