Wapinzani,huyu bwana akija katika majimbo yenu kwenye ziara zake msishiriki

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Huyu bwana mnatakiwa mumuwekee msimamo na moja ya msimamo uwe na kutoshiriki ziara zake kwenye majimbo yenu.

Tambueni kaamua kupambana na nyinyi hivyo mteendeeni kulingana na matendo yake na si kulingana ni wadhifa wake vinginevyo itakula kwenu.

Mnachotakiwa ni nyinyi muwe msimamo mkali kama TAL ambae ameshaamua kula nae sahani moja (dawa ya moto ni moto).

Msimpe nafasi ya kujifanya anawatambua mbele ya wananchi ili hali ni adui yenu hivyo mjitenge nae hata kama atajisikia vibaya maana anapenda kuabudiwa.

Hii vita ni serous na ili mshinde, ni lazima na nyinyi muwe serious na muwe na misimamo isiyoyumba vingine itachukua muda mrefu kushinda vita hii.

Ninahakika TAL amelitambua hili na ndio maana harudi nyuma na wala hacheki nae hivyo na nyinyi mnapaswa kumuonyesha msimamo mkali.

Asiwadanganye mtu, kila mtu anamuhitaji mwingine na ndio maana huwa wanalalamika ikitokea baadhi yenu hamshiriki ziara zake.

Ni ushauri kutokana na hali halisi ya mambo kwa sasa.

Tambueni sometimes heshima huwa haiji hivi hivi.
 

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Sep 1, 2013
2,325
2,000
Polee upinzani ulikuwepo before 2015 BT now hata tuliokua upinzani tumehama maana hamjielewi mnataka nn... Mmebaki kuchafua nchi tuu na siwafichi uchaguz wa 2020 ndo utakua rahisi kwa magu kuliko chaguzi yoyoye maana watu washawajua hamna nia ya kukomboa taifa ila MNA nia ya kuingia madaraka SAA cjui mkiingia itafanya nn maana tulichotaka kifanyike ndio kinafanyikaa. So all upinzani can kiss ma black ass

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,143
2,000
Ukihudhuria kwenye mkutano wa huyo jamaa lazima ukapimwe mirembe. Hana lolote la maana


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Ni lazima na yeye atendewe kulingana na matendo yake vinginevyo hawezi ku-feel chochote.

Ninahaki anachofanya TAL kwa sasa kitasaidi kuokoa wengine wengi waliokuwa kwenye "black list" kuliko kama na yeye angeamua kukaa kimya kama wengine.

Bila na wao kuonja maumivu kamwe hawawezi kujirekebisha.
 

goggles

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,423
2,000
Baada ya Mungu huyo mtu ndiye anafuatia kwa kupendwa. Hivyo ushauri wako ni 0 + 0 = 0
 

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,693
2,000
Who cares!

Hivi unajua madaraka ya Rais kama yalivyoanishwa kwenye katiba 1977

Ignore the President at your perilSent from my iPhone using JamiiForums
 

mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,881
2,000
Polee upinzani ulikuwepo before 2015 BT now hata tuliokua upinzani tumehama maana hamjielewi mnataka nn... Mmebaki kuchafua nchi tuu na siwafichi uchaguz wa 2020 ndo utakua rahisi kwa magu kuliko chaguzi yoyoye maana watu washawajua hamna nia ya kukomboa taifa ila MNA nia ya kuingia madaraka SAA cjui mkiingia itafanya nn maana tulichotaka kifanyike ndio kinafanyikaa. So all upinzani can kiss ma black ass

Sent using Jamii Forums mobile app
Sera yao itakuwa nilipigwa risasi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom