The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,553
Nimesoma kinachoendelea . Nimeanza kuona baadhi ya wafuasi wa vyama vya upinzani wameanza kukifundisha chama hiki kikongwe namna ya kujinasua na hali iliyopo sasa.
Tulieni ,nyamazeni kimya. Ukimya ni busara pia. Acheni kabisa kuingilia huu mgogoro Hawa jamaa wanaweza kupatana halafu wakaja na nguvu ya pamoja na kuwashughulikia nyinyi ipasavyo.
Kama wakati umefika wa wao kugawana fito ukweli utajionesha wenyewe. Nyie endeleeni kuchungulia dirishani. Wala msitoke nje kushangilia.