NI kweli umesema, lakini wanashangilia unafuu wa kufanya siasa umepatina tofauti ni kipindi cha mtukufuNashangaa kwa sasa Chadema na vyama vingine vya siasa mpo bize kumpigia vigelegele Mama President as if ni mwanachama cha Hashim Rungwe kaingia Ikulu, mind u, CCM ni ile ile na ndio bado iko madarakani. CCM haijawahi kuwa fair kwa Upinzani nchi hii.
Huu ni wakati wa Upinzani kujenga na kurejesha imani kubwa kwa wananchi. Waje na mbinu mbadala za kuwashawishi wananchi wawachague. Come 2025, mkiendelea na hivi vigelegele mnavyokazania CCM inashinda kiulaini.
Mama ni M-CCM wa zaidi ya 15 yrs, kaongoza na Magufuli 5 yrs, now ni rais. Yes, kuna vichaka vya Magu ataviwasha moto, lakini yote ni kwa faida ya CCM, trust me!
Pambaneni mitandaoni, pambaneni majimboni, onesheni CCM inaboronga wapi na nyie mtarekebisha nini ikiwa mtapata japo ubunge again.
Kumbuka: Mkimsifu sana Mama, mnaisifia CCM ile ile inayowasurubu!!
Kazi kwenu!
Toyo kama huyu anatakiwa afungwe
Nakubaliana na wewe sema kuna nafuu kdg hata mimi simkubali sn mazaaBado mama hajatoa msimamo wake, so it is too early to judge!
Fita ni fita mura!!!
Mbona mliwadharau Kikwete na Mkapa mkamwibua mungu mtu Magu,utafikiri hao watangulizi walikuwa cuf,chadema,aic-wazalendo au dp.Nashangaa kwa sasa Chadema na vyama vingine vya siasa mpo bize kumpigia vigelegele Mama President as if ni mwanachama cha Hashim Rungwe kaingia Ikulu, mind u, CCM ni ile ile na ndio bado iko madarakani. CCM haijawahi kuwa fair kwa Upinzani nchi hii.
Huu ni wakati wa Upinzani kujenga na kurejesha imani kubwa kwa wananchi. Waje na mbinu mbadala za kuwashawishi wananchi wawachague. Come 2025, mkiendelea na hivi vigelegele mnavyokazania CCM inashinda kiulaini.
Mama ni M-CCM wa zaidi ya 15 yrs, kaongoza na Magufuli 5 yrs, now ni rais. Yes, kuna vichaka vya Magu ataviwasha moto, lakini yote ni kwa faida ya CCM, trust me!
Pambaneni mitandaoni, pambaneni majimboni, onesheni CCM inaboronga wapi na nyie mtarekebisha nini ikiwa mtapata japo ubunge again.
Kumbuka: Mkimsifu sana Mama, mnaisifia CCM ile ile inayowasurubu!!
Kazi kwenu!
Mama Samia akifanya ya maana atapongezwa. Akifanya ujinga atakosolewa na kulalamikiwa pia. Ndio jukumu muhimu la wananchi ambao ni sisi. Kama katika kuilinda CCM atafanya ujinga atarajie kukosolewa tu hata na waliompongeza wakati akifanya ya maana kama alivyoanza sasa. Wapinzani wakimkosoa kwa mambo sahihi anayofanya nao tutawahesabu ni wapumbavu. Hiyo ndiyo demokrasia. Haina maana nyingine. Atakayefurahi kwamba waliomsifu mwanzoni sasa "wanamlaani" tutamchukulia ana IQ ndogo (hana akili); haelewi maana ya demokrasia.Nashangaa kwa sasa Chadema na vyama vingine vya siasa mpo bize kumpigia vigelegele Mama President as if ni mwanachama cha Hashim Rungwe kaingia Ikulu, mind u, CCM ni ile ile na ndio bado iko madarakani. CCM haijawahi kuwa fair kwa Upinzani nchi hii.
Huu ni wakati wa Upinzani kujenga na kurejesha imani kubwa kwa wananchi. Waje na mbinu mbadala za kuwashawishi wananchi wawachague. Come 2025, mkiendelea na hivi vigelegele mnavyokazania CCM inashinda kiulaini.
Mama ni M-CCM wa zaidi ya 15 yrs, kaongoza na Magufuli 5 yrs, now ni rais. Yes, kuna vichaka vya Magu ataviwasha moto, lakini yote ni kwa faida ya CCM, trust me!
Pambaneni mitandaoni, pambaneni majimboni, onesheni CCM inaboronga wapi na nyie mtarekebisha nini ikiwa mtapata japo ubunge again.
Kumbuka: Mkimsifu sana Mama, mnaisifia CCM ile ile inayowasurubu!!
Kazi kwenu!
Wataamka tu ikwa tayari too late. Wanampa Rais kazi ndogo ndogo anazifanya wanaridhika wameshasahau kile walichokuwa wanakipigania miaka yote, Katiba Mpya.
Huyu mama now ana score marks toka kila upande, kuanzia kwa upinzani wenyewe, magazeti, na CCM wenzake, wananchi nao wanaliona hili. Siku wapinzani wakiamka waseme tunataka Katiba Mpya wakati mama anaendelea ku score marks kwa utendaji wake hali ya wapinzani itakuwa ngumu zaidi, wananchi wengi watakuwa upande wa Rais.
Nawashangaa mara hii wameshaisahau Katiba Mpya itakayo wa-set free hata hao wanaoishi ukimbizini, now wapo huko wameridhika kuandika tu mitandaoni, next time akija tena Rais mgumu watarudi tena ukimbizini kwa hii katiba tuliyonayo. wanasahau Magufuli aliitumia katiba iliyopo kuwa vile alivyokuwa.
Wanampa Rais kazi nyepesi anazoonekana kuzimudu vyema kama utawala bora ( ACT wameshinda jana uchaguzi mdogo Znz), na hata ukiukwaji haki za binadamu naamini Rais mpya ataondoa hili, it's only a matter of time from now, ata score tena marks watamshangilia.
Wakija kuamka itakuwa tayari close na 2025, waanze kuidai Katiba Mpya uchaguzi mkuu ukikaribia, then watashiriki uchaguzi na Katiba ya zamani wapate wabunge 50 and above kule bungeni maisha yaendelee, jamaa sidhani kama wanaikumbuka ikulu tena.
Hapa hakuna kusubiri siku 100, zinaweza kwisha hizo bado pasiwepo na anything concrete kuwapelekea wananchi, sijui watampa siku 100 nyingine, wakati Rais anaendelea ku-score marks from all different angles, wakati wakudai Katiba Mpya ni sasa, kumshangilia Rais waachiwe CCM.
Hili linasababishwa na wengi upinzani kufuata akili/mawazo ya wachache twitter, watu wajifunze kufikiria kwa kutumia akili zao, vinginevyo mtarudishwa utumwani na hao hao mnaowaamini, wale wakipata ubunge kwao unawatosha.
mpaka wapate akiliAwe Arrogant au awe mpole, bado ni mwana CCM na atafanya yote kwa Sifa ya CCM!
Kikwete was so diplomatic, ila wapinzani walimnanga sana! Magu kaja kama moto wa vichakani, wakamnanga na akawakandamiza sana! Sasa maza kaja kivingine, bado atawaliza tu!
Adui mkuu wa upinzani ni CCM!
Amewaminya lini,wakati hata mwezi mmoja wa urais haujaisha?Wataamka Maza keshawaminya mpk wanakosa pumzi! Waache uzwazwa
Nashangaa kwa sasa Chadema na vyama vingine vya siasa mpo bize kumpigia vigelegele Mama President as if ni mwanachama cha Hashim Rungwe kaingia Ikulu, mind u, CCM ni ile ile na ndio bado iko madarakani. CCM haijawahi kuwa fair kwa Upinzani nchi hii.
Huu ni wakati wa Upinzani kujenga na kurejesha imani kubwa kwa wananchi. Waje na mbinu mbadala za kuwashawishi wananchi wawachague. Come 2025, mkiendelea na hivi vigelegele mnavyokazania CCM inashinda kiulaini.
Mama ni M-CCM wa zaidi ya 15 yrs, kaongoza na Magufuli 5 yrs, now ni rais. Yes, kuna vichaka vya Magu ataviwasha moto, lakini yote ni kwa faida ya CCM, trust me!
Pambaneni mitandaoni, pambaneni majimboni, onesheni CCM inaboronga wapi na nyie mtarekebisha nini ikiwa mtapata japo ubunge again.
Kumbuka: Mkimsifu sana Mama, mnaisifia CCM ile ile inayowasurubu!!
Kazi kwenu!
Sijasema amewaminya, nasema wakiendelea na kwaya zao watastuka mama kashaset mitego itakayowaminya washindwe kujinasua.Amewaminya lini,wakati hata mwezi mmoja wa urais haujaisha?
Wache usiwaamshe. Bado wanapambana na Marehemu. Wakiamka 2025.Nashangaa kwa sasa Chadema na vyama vingine vya siasa mpo bize kumpigia vigelegele Mama President as if ni mwanachama cha Hashim Rungwe kaingia Ikulu, mind u, CCM ni ile ile na ndio bado iko madarakani. CCM haijawahi kuwa fair kwa Upinzani nchi hii.
Huu ni wakati wa Upinzani kujenga na kurejesha imani kubwa kwa wananchi. Waje na mbinu mbadala za kuwashawishi wananchi wawachague. Come 2025, mkiendelea na hivi vigelegele mnavyokazania CCM inashinda kiulaini.
Mama ni M-CCM wa zaidi ya 15 yrs, kaongoza na Magufuli 5 yrs, now ni rais. Yes, kuna vichaka vya Magu ataviwasha moto, lakini yote ni kwa faida ya CCM, trust me!
Pambaneni mitandaoni, pambaneni majimboni, onesheni CCM inaboronga wapi na nyie mtarekebisha nini ikiwa mtapata japo ubunge again.
Kumbuka: Mkimsifu sana Mama, mnaisifia CCM ile ile inayowasurubu!!
Kazi kwenu!
Siyo msukuma yule maana wasukuma wanapenda ukatili na kujimwambafai kuwa wao ni bora kuliko wengine,kumbuka yule atafuata sheria zaidi ,mtangulize wake alifuata ubabe na sifa za kijinga.Bado mama hajatoa msimamo wake, anaweza akaja kivingine na akawa so bad, so it is too early to judge!
Fita ni fita mura!!!
Acha dharau kwa wasukuma bana nao ni watanzania! Magu was arrogant ila haiondoi ukweli kuwa alikuwa CCM na amewapiga bonge la ngumi wapinzani!Siyo msukuma yule maana wasukuma wanapenda ukatili na kujimwambafai kuwa wao ni bora kuliko wengine,kumbuka yule atafuata sheria zaidi ,mtangulize wake alifuata ubabe na sifa za kijinga.
wasukuma walijaa dharau nchi nzima na ukiwakuta kwenye ofisi utafikiri umekutana na malaika,misimamo mibovu isiyo na tija kwenye nchi pamoja na jamii yote.Acha dharau kwa wasukuma bana nao ni watanzania! Magu was arrogant ila haiondoi ukweli kuwa alikuwa CCM na amewapiga bonge la ngumi wapinzani!