Wapinga kristo

''Waendelee kumsubili huyo waliomuua mwanzo, huyu anayerudi ni Nabii Issa ambaye hakuwahi kufa ila alipaa''
 
Bhange hazivutwi Tanzania pekee.... Hata ughaibuni pia ipo.
 
Hao ni wapuuzi wa hali ya juu Jesus hataniwi hata kidogo
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeh, ila wazungu wamedata kweli kweli
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeh, ila wazungu wamedata kweli kweli

ahahahahaaaaaaaaa.....wenyewe ndio waliotuletea huo ujumbe,..wameona ni uzushi na wameuchoka sababu faida zake hazipo tena--wameamua kuufutilia mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…