Wapigao kelele wakikaribia kufika kileleni

Wapigao kelele wakikaribia kufika kileleni

Lol mi naelewa inakuwaje... mwenyewe kuna siku huwa naachia body teheeee nafunguka mbaya! Ila siku kama hizo redio muhimu rum!

You need a gag. lol

Huwa wamekufanyeje kwani? hahah
 
Aisee kuna rafiki yangu mmoja alishawahi kupanga nyumba moja na wanandoa walokole,anadai walikua wakianza kufika peak mdada eti analia,,,,uuuuuuwiiii asante yesu!asante yesuuu!mi nilimbishia sana lakini jamaa alikomaa kwamba ni kweli.Nilishangaa sana.
 
heri apige kelele kuliko yule ambae hapigi kelele yeye anang'ata
 
Mamaweee mamaweee nakujaaa nakujaaa nipokeeee mwenziooooo

Kigezo cha kufika kileleni ni kelele, kama hutaki anza mapemaa uniache. Aliyekwambia uishi uswahilini nani. Mimi napiga kelele popote sichuguliwi.
 
Mamaweee mamaweee nakujaaa nakujaaa nipokeeee mwenziooooo

Miye nikimpata huyo, navizia pale mijitu inaanza kula cha usiku. Niwadhihirishie kuwa namiye nimo kwenye wenye uwezo wa kumfikisha kileleni. Halafu ni kiila siku mpaka wahame waniachie nyumba.
 
Ni heri majirani wasikie makelele yenu kwa kuwa hakuna jambo baya litakalowatokea kuliko kumziba mwenza mdomo kunakoweza kumsababishia mauti. Wakati unataka kumziba kwa shuka we huwa wajisikiaje? unavyojisikia hakuna tofauti na anavyojisikia mwenzako
Kuwa makini sana maana ukimziba sana mdomo, sauti inaweza hamia maeneo mengine na akatoa bomu la hatari teh teh
 
Miye nikimpata huyo, navizia pale mijitu inaanza kula cha usiku. Niwadhihirishie kuwa namiye nimo kwenye wenye uwezo wa kumfikisha kileleni. Halafu ni kiila siku mpaka wahame waniachie nyumba.
Hahahahaaaa mangatara umesababisha nimepaliwa na kiroba changu cha burudani wine qui qui quiiiiii .Nimeipendaje hii!!!
 
kwani anayeanza kupiga kelele ni yupi kati ya wanawake na wanaume

WANAUME ndo mmezidi kupiga.................

Ni utamu ni uchungu ni furaha au ninini ? mbaya zaidi kama mnakaa nyumba ya kupanga halafu haina ceiling board Huwa natamani kumziba mtu mdomo kwa shuka.
 
Back
Top Bottom