Sijaelewa. Ni kelele za namna gani, hebu toa mfano tafadhali.
kwani ni kelele za namna gani hizo? Mi nadhani kama ni miguno ni kitu cha kawaida kwani hata bata nao huguna kitu kinapocheu sembuse binadamu. Au hujui hata kompyuta huitikia mara tu modemu inapoingizwa au kutolewa sembuse binadamu!!
Mamaweee mamaweee nakujaaa nakujaaa nipokeeee mwenziooooo
Ni utamu ni uchungu ni furaha au ninini ? mbaya zaidi kama mnakaa nyumba ya kupanga halafu haina ceiling board Huwa natamani kumziba mtu mdomo kwa shuka.
Mamaweee mamaweee nakujaaa nakujaaa nipokeeee mwenziooooo
Hahahahahaha hahaaahahahaKhaaaaa! Sasa wewe hapo kinakukera kitu gani unatakiwa na wewe umjibu.
Babaweeee babaweeee siwezi kukupokea niko busy!
Hahahahaaaaaaaaaa! muulize umpokee kituo gani.