Wapiganaji wa Rohingya wasitisha mapigano Burma(Myanmar)

Wapiganaji wa Rohingya wasitisha mapigano Burma(Myanmar)

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,096
Katika taarifa nyingine Asubuhi hii ya leo, waasi wa kiislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wametangaza upande mmoja makubaliano ya kusitisha mapigano leo Jumapili, ili kujaribu kupunguza mgogoro wa kibinadamu magharibi mwa taifa hilo.

Mashambulio dhidi ya jeshi la taifa hilo yanayotekelezwa wapiganaji wa Arakan Rohingya Salvation Army, yalisababisha mapigano makali ya wiki mbili, ambapo zaidi ya watu laki tatu wa jamii ndogo ya Warohingya wamekimbilia nchi jirani la Bangladesh.

[https://ichef]

Image captionRamani ya Myanmar

Kundi hilo la waasi, yameiomba jeshi la nchi hiyo pia kuitisha wito wa kusitisha mapigano, huku likiomba mashirika ya utoaaji misaada ya kibinadamu kurejelea kazi zao za kusambaza misaada.

Waziri mmoja wa serikali ya Myanmar ameiambia BBC kuwa, wengi wa Wa-Rohingya waliokimbia nchi hiyo na kuelekea Bangladesh, hawataruhusiwa kamwe kurejea Myanmar.
 
Halafu kuna upuuzi huu hapa Hivi Serikali ya Myanmar Waislamu wa Rohingya kosa lao hasa nini? ukijaribu "kuchora picha" kwamba ndio wanaoonewa; kumbe wana "salvation army" ambayo iko msituni inapigana vita. Wanadhani wataigeuza Myanmar kuwa nchi ya dini yao? Thubutu! Wamekutana na Buddha wapole na wapenda amani mno ila washenzi kupindukia wanapochokozwa. Kila penye mifarakano ya kijamii lazima hawa jamaa wahusike; ajabu sana hii! Halafu watasema ni Marekani inachochea.
 
... Waziri mmoja wa serikali ya Myanmar ameiambia BBC kuwa, wengi wa Wa-Rohingya waliokimbia nchi hiyo na kuelekea Bangladesh, hawataruhusiwa kamwe kurejea Myanmar.
Hii imekaa poa. Wameenda kwa mabwana zao wanaowapa silaha na mafunzo ili kuendekeza upuuzi wao wa vita kama kawaida yao. Halafu wakiuliwa watasema ni Marekani na Mayahudi wanachochea mgogoro; hawa binadamu sijui wana akili za aina gani hawa!
 
Halafu kuna upuuzi huu hapa Hivi Serikali ya Myanmar Waislamu wa Rohingya kosa lao hasa nini? ukijaribu "kuchora picha" kwamba ndio wanaoonewa; kumbe wana "salvation army" ambayo iko msituni inapigana vita. Wanadhani wataigeuza Myanmar kuwa nchi ya dini yao? Thubutu! Wamekutana na Buddha wapole na wapenda amani mno ila washenzi kupindukia wanapochokozwa. Kila penye mifarakano ya kijamii lazima hawa jamaa wahusike; ajabu sana hii! Halafu watasema ni Marekani inachochea.
Kuna mpuuz mmoja alikuwa anawatetea jana. Hii din bila dam haiwez kusimama. Ngoja wanyooshwe
 
Hii imekaa poa. Wameenda kwa mabwana zao wanaowapa silaha na mafunzo ili kuendekeza upuuzi wao wa vita kama kawaida yao. Halafu wakiuliwa watasema ni Marekani na Mayahudi wanachochea mgogoro; hawa binadamu sijui wana akili za aina gani hawa!
Omba mungu yatokee hapa alafu uchonge mdomo kama hivi, Sasa mn
aizungumza Myanmar kwani Wanaume wapo njiani kuelekea huko kuwanusuru ndugu zao na wengine wamefika,
Inajulikana wanapo shambuliwa Waislam haki za binaadam na taasisi zengine zote huenda likizo very soon u will see!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenye kuweza kuitafasiri kwa kiingereza hiyo habari afanye hivyo ili na mm nielewe mana kiswahili sikijui
 
Katika taarifa nyingine Asubuhi hii ya leo, waasi wa kiislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wametangaza upande mmoja makubaliano ya kusitisha mapigano leo Jumapili, ili kujaribu kupunguza mgogoro wa kibinadamu magharibi mwa taifa hilo.

Mashambulio dhidi ya jeshi la taifa hilo yanayotekelezwa wapiganaji wa Arakan Rohingya Salvation Army, yalisababisha mapigano makali ya wiki mbili, ambapo zaidi ya watu laki tatu wa jamii ndogo ya Warohingya wamekimbilia nchi jirani la Bangladesh.

[https://ichef]

Image captionRamani ya Myanmar

Kundi hilo la waasi, yameiomba jeshi la nchi hiyo pia kuitisha wito wa kusitisha mapigano, huku likiomba mashirika ya utoaaji misaada ya kibinadamu kurejelea kazi zao za kusambaza misaada.

Waziri mmoja wa serikali ya Myanmar ameiambia BBC kuwa, wengi wa Wa-Rohingya waliokimbia nchi hiyo na kuelekea Bangladesh, hawataruhusiwa kamwe kurejea Myanmar.
acha unafiki ww
 
Hii story ukiifuatilia inatia huruma, hawa watu hawana option hawa zaidi ya kupigana.

Where are the Rohingya from?
Muslims have lived in the area now known as Myanmar since as early as the 12th century, according to many historians and Rohingya groups.

The Arakan Rohingya National Organisation has said, "Rohingyas have been living in Arakan from time immemorial," referring to the area now known as Rakhine.

During the more than 100 years of British rule (1824-1948), there was a significant amount of migration of labourers to what is now known as Myanmar from today's India and Bangladesh. Because the British administered Myanmar as a province of India, such migration was considered internal, according to Human Rights Watch (HRW).

The migration of labourers was viewed negatively by the majority of the native population.

After independence, the government viewed the migration that took place during British rule as "illegal, and it is on this basis that they refuse citizenship to the majority of Rohingya," HRW said in a 2000 report.

This has led many Buddhists to consider the Rohingya as Bengali, rejecting the term Rohingya as a recent invention, created for political reasons.
...

In 1982, a new citizenship law was passed, which effectively rendered the Rohingya stateless. Under the law, Rohingya were again not recognised as one of the country's 135 ethnic groups. The law established three levels of citizenship. In order to obtain the most basic level (naturalised citizenship), there must be proof that the person's family lived in Myanmar prior to 1948, as well as fluency in one of the national languages. Many Rohingya lack such paperwork because it was either unavailable or denied to them.

Myanmar: Who are the Rohingya Muslims?
 
Hakun
a

acheni roho mbaya hata kama mnafundishwa muwachukie waislam,
Hakuna mtu anaweza kunifundisha kuwachukia waislam zaid ya waislam. Din inaita Watu makafir unamaanisha ni majitu unaweza kuyaua tu kwaajili ya mungu wa dini.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
nani a
Hakun

Hakuna mtu anaweza kunifundisha kuwachukia waislam zaid ya waislam. Din inaita Watu makafir unamaanisha ni majitu unaweza kuyaua tu kwaajili ya mungu wa dini.
nani ambae hajui kwamba mnafundishwa huko sande school? mnafurahia mauji ya waislam hapo angekua mkirisito ndo kafanyiwa hivyo ungesikia mayoe kila pembe ya dunia
 
nani a

nani ambae hajui kwamba mnafundishwa huko sande school? mnafurahia mauji ya waislam hapo angekua mkirisito ndo kafanyiwa hivyo ungesikia mayoe kila pembe ya dunia
Wew kwa akili zako kila anaecoment hapa ni mkristo. Ndio maana akili zenu zinafanana haijalish aliyesoma na kilaza
 
  • Thanks
Reactions: PNC
a

acheni roho mbaya hata kama mnafundishwa muwachukie waislam,
Hakuna anaye mchukia muislamu mtu [emoji106] ilaha tunaichukia Roho islamu iliyo ndani yao [emoji106] hebu ona [emoji117]
00cb83d9d9d513a4e073573a85f2ce36.jpg
[emoji15]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mabudha sio watu wa mchezo! Mpaka waislam wameomba poo!
Mabudha sio wa mchezo mchezo mkuu. Hushangai na jeuri yote uislamu uliishia hapo Pakistan na Afghanistan na India kidogo. Mashariki mwa the Himalaya ni Budha na dini zingine za kale wamepigania dini zao za karne na karne. Mchina ndiye anaongoza duniani kuzalisha na kula kiti moto, mbwa, paka, nyoka, konokono, mijusi na mazagazaga mengine lakini hutosikia mwarabu na vibaraka wao wakinyanyua pua za sijui dini.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Halafu kuna upuuzi huu hapa Hivi Serikali ya Myanmar Waislamu wa Rohingya kosa lao hasa nini? ukijaribu "kuchora picha" kwamba ndio wanaoonewa; kumbe wana "salvation army" ambayo iko msituni inapigana vita. Wanadhani wataigeuza Myanmar kuwa nchi ya dini yao? Thubutu! Wamekutana na Buddha wapole na wapenda amani mno ila washenzi kupindukia wanapochokozwa. Kila penye mifarakano ya kijamii lazima hawa jamaa wahusike; ajabu sana hii! Halafu watasema ni Marekani inachochea.
Unaonekana una mihemuko ya kidini na kwa maana hiyo, katu huwezi kuwa objective.

Ukiangalia source ya matatizo ya Burma na jamii ya Rohingya, hayo uliyosema unatakiwa kuyaonea aibu manake unaonesha wazi kwamba unasukumwa na udini.

Hapa nitaweka sources mbalimbali kutoka nchi ambazo sio za Kiislamu!!

Washington Post wanasema:

This dispute over the identity of the Rohingya has big consequences in Burma. The minority is not among the 135 officially recognized ethnic groups in the country, and despite their considerable numbers and local roots in Burma, they are not considered citizens and are denied access to government services.

The Rohingya long faced discrimination — in 2009, a U.N. spokeswoman described them as “probably the most friendless people in the world” — but there has been a marked deterioration in their situation since the Burmese military began to relinquish power in 2011.

A growing Buddhist nationalism in Burma, where 90 percent of the population identify with Buddhism, has led to a number of laws on religion, including restrictions on interfaith marriage. There has also been major ethnic violence in Rakhine; most notably in 2012, when sectarian riots after the rape of a woman in the state led to large-scale displacement of Muslims, with many moving into squalid camps for internally displaced people.


Now tell me, yaani jamii moja kwenye nchi waonekane wao sio raia na hawana haki ya huduma za serikali halafu bila aibu unadai eti source ni kwamba wanataka Myanmar/Burma iwe nchi ya Kiislamu bila kuangalia source ya mgogoro.

Btw, hao Arakan Rohingya Salvation Army ni nani? Washington Post tena wanasema:

This particular armed Rohingya insurgency first emerged last year. According to a report from the International Crisis Group, it is led by a committee of Rohingya emigrants in Saudi Arabia and appears to be well-funded and well-organized. The Burmese government has called it a terrorist organization that is intent on establishing an Islamic state in Rakhine.

Kumbe ni kikundi kilichoanza harakati zake mwaka jana wakati hiyo jamii imekuwa discriminated kwa miongo kadhaa sasa!! Serikali ya kijeshi ya Myanmar/Burma ndio iliyosema hicho kikundi kinataka kuifanya Myanmar/Burma kuwa nchi ya Kiislamu na wewe bila aibu unaitumia kauli hiyohiyo!!! Na kwa wanaofuatilia siasa za Asia, wanafahamu ni namna serikali hii ilikuwa ya hovyo hovyo duniani!!!

BBC wanaielezea hii jamii as per the United Nations:

The United Nations describes Rohingya as a religious and linguistic minority from western Myanmar. It says the Rohingya are one of the most persecuted minorities in the world
.

Yaani United Nations wanasema wazi kwamba hiyo ni moja ya jamii zinazoteswa sana duniani lakini wanaposema enough is enough na kuamua ku-fight back, wewe bila aibu unakuja na hoja eti wanataka kuigeuza Myanmar/Burma kuwa nchi ya Kiislamu simply because utawala wa kijeshi wa nchi hiyo ndivyo ulivyosema!

Wakati wanahistoria wanasema wa-Rohingya wapo Myanmar/Burma kwa angalau karne moja, serikali ya Burma inasema:

The Burmese government says they are relatively recent migrants from the Indian sub-continent. As a result, the country's constitution does not include them among indigenous groups qualifying for citizenship
.

Kwa kauli hiyo ya serikali inaonesha wazi kwamba hao jamaa wapo on their own!!! Sasa ikiwa hata serikali haikutambui, ni chombo gani basi kitasimama kwa niaba yako?!

The Guardian nao wanatujulisha kuhusu Rohingya


Described as the world’s most persecuted people, 1.1 million Rohingya people live in Myanmar. They live predominately in Rakhine state, where they have co-existed uneasily alongside Buddhists for decades.
.....
The Rohingya are reviled by many in Myanmar as illegal immigrants and they suffer from systematic discrimination. The Myanmar government treats them as stateless people, denying them citizenship. Stringent restrictions have been placed on Rohingya people’s freedom of movement, access to medical assistance, education and other basic services
.

The Guardian nao wanasema kitu kile kile. Pamoja na kuwa badly discriminated lakini serikali nayo haiwatambui kama ni watu wake na inawaona ni watu wasio na nchi!!

Kama serikali tu msimamo wake ndio huo, who can then stand for them?! Lakini badala ya kuangalia source ya tatizo, wewe unakuja na hoja ya serikali ile ile isiyowatambua wananchi wake ni kusema eti wanataka kuanzisha dola la Kiislamu!!

Siegfried O. Wolf, Director of Research at Brussels-based South Asia Democratic Forum (SADF), anaandika kupitia Deutsche Welle


The government, instead of fostering reconciliation, is supporting Rakhine Buddhist fundamentalists in order to safeguard its interests in the resource-rich state. These factors are the major reasons behind the rise of intercommunal, interethnic and interreligious conflicts, as well as the worsening of Rohingyas' living conditions and socio-political rights in the state.

Nao wanasema kile kile kwamba, hata serikali ina-support jamii moja kwenye eneo lenye jamii mbili! Again, wanaonesha Wa-Rohingya hawana mtetezi hata serikalini!!

Watu wanasema enough is enough na kuamua ku-fight back, bila aibu unakuja hapa kusema eti wa-Rohingya ndio chanzo kwa sababu wanataka kuanzisha dola la Kiislamu kwa sababu tu, serikali ile ile isiyowatambua ndivyo wanavyosema!

Taasisi ya InterAction, nao wanasema:

A key driver in the conflict occurred earlier in Myanmar’s history with the Citizenship law of 1982, which stripped Muslims of citizenship and many basic rights. Consequently, they became an unrecognized stateless minority group which further deprived them of rights and protections.

Again, nao wanaongea kile kile kwamba, Rohingya ni jamii inayokandamizwa kiasi cha kupitisha sheria ya kuwaona ni watu wasio na nchi.

The Human Right Watch

The most critical issue remains the legal status of the Rohingya in Burma and the implications that it carries in practice. While they have been permitted to reside in Burma, most Rohingya are considered by the Burmese authorities to be "resident foreigners," not citizens. This lack of full citizenship rights means that the Rohingya are subject to other abuses, including restrictions on their freedom of movement, discriminatory limitations on access to education, and arbitrary confiscation of property. Denial of citizenship, and of the rights that go with it, inevitably pose serious obstacles to the achievement of a durable solution to the refugee flows.

The 1982 Burma Citizenship Law, promulgated not long after the mass return of Rohingya who fled in 1978

The Burmese government restricts Rohingya from traveling within Arakan, to other parts of the country, and abroad. It is a well established principle of international law that any person who is lawfully in the territory of a state should enjoy the right to freedom of movement and residence within that state. This principle is enshrined in Article 13 of the Universal Declaration of Human Rights and Article 12 of the International Covenant on Civil and Political Rights
.

The Burmese government reserves secondary education for citizens only. Rohingya do not have access to state run schools beyond primary education.31 The Rohingya's lack of citizenship also bars them from securing positions in the civil service. Many Rohingya therefore cannot be teachers or health workers nor are they permitted to participate formally in local government.

Human Rights Watch nao wanasema kile kile kuhusu jamii ya Rohingya. HRW wanafika mbali zaidi na kutujuza kumbe hata uhuru wa kusafiri hawana na uhuru huo unakandamizwa na serikali yenyewe. Aidha, katiba haiwapi haki ya kupata elimu kwenye shule za umma beyond primary education!

Again, they are on their own na waliposema enough is enough and we have to fight for our own rights, wanakuja watu wenye mihemuko ya kidini kama nyinyi na kusema eti hao jamaa ni tatizo kwa sababu wanataka kuanzisha dola la Kiislamu simply because serikali ile ile inayokandamiza imesema hivyo!!!

Hata ukiangalia sababu zilizopekelea machafuko ya miaka ya karibuni ni sababu za kipumbavu kabisa! Kwamba, eti mwanamke wa Kibudha amebakwa na Waislamu

Sources zote hapo juu ni za nchi za magharibi! Hivi mataifa ya magharibi tangu lini wameanza kuwatetea Waislamu duniani ili tuseme yote hayo ni uongo unaolenga kuwa-favor Waislamu wa Rohingya?! Ni wale wale waliokuwa wanamsifia kweli kweli Aung San Suu Kyi

Mbaya zaidi, Myanmar Times, gazeti la huko huko Myanmar/Burma hivi ndivyo wanavyosema:

The Rohingya have endured decades of harassment, marginalisation and ethnic cleansing at the hands of Myanmar’s old military regimes (and the local Rakhine people), amounting, some argue, to genocide. Everyone knew that Myanmar’s new leader, Daw Aung San Suu Kyi, has also been ambivalent toward their plight. She has refused to even call them by their own name, for fear of offending the country’s often-Islamophobic Buddhist majority in the run-up to last November’s general election, which she won by a landslide. But surely Myanmar’s first civilian government since the 1960s would be better than the murderous, kleptocratic rule of the generals?

Now, hivi hujisikii aibu?!

Ukweli ni kwamba, popote pale duniani penye ukandamizaji, itafika siku wanaokandimizwa watasema "IMETOSHA"! Hawa wataungana kwa njia yoyote ile wanayoona inafaa kuwaunganisha ili kupambana dhidi ya ukandamizaji! Wataungana kwa kutumia dini zao, makabila yao, rangi zao, utaifa wao na ikibidi hata kwa jinsia zao.

Watu kama nyinyi yanapotokea hayo badala ya kuangalia kiini cha mzozo, mnakuja kuweka conclusion zenu kwa kuangalia matokeo ya mwisho! Ni sawa na leo hii mtu awalaumu akina Kinjeketile Ngwale kuanzisha vita vya Maji Maji huku akiwaacha Wajerumani waliowafanya akina Kinjeketile waseme "enough is enough" na sasa lazima tupiganie utu wetu!!!!
 
Back
Top Bottom