Wapiganaji 10 wa Taleban wauawa na IS

Wapiganaji 10 wa Taleban wauawa na IS

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,569
Reaction score
53,583
150428125925_afghan_taleban_640x360_ap.jpg

Wapiganaji wa Taleban nchini Afghanistan



Jeshi la Afghanistan limesema wanachama kumi wa kundi la Taliban wameuliwa na wapiganaji wa Islamic State walioko mashariki mwa nchi hiyo.
Maelezo zaidi kuhusu mauaji hayo yalipatikana kwenya taarifa ya siri kutoka duru za kijeshi ambayo ilitumwa kwa vyombo vya habari kimakosa.
Kuuwawa kwa waTaliban hao kwa kukatwa vichwa na wanamgambo hao wa ISIS kunajiri baada ya mapigano ya wiki kadhaa kati ya pande hizo mbili katika wilaya Achin karibu na mpaka na Pakistan .


http://www.bbc.com/swahili/habari/2015/06/150604_pakkistan-taleban?ocid=socialflow_facebook
 
Hii picha imeanza kuwa tamu cc: FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Mtakuja na akila aina ya uongo.

Hatudanganyiki.
 
Back
Top Bottom