Wapiga picha nao!-mnanikera sana.

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
View attachment 64973
Unaenda kwenye mahafali kupata cheti cha heshima, jamaa anakubughudhi ili akupige picha ulivyotoka kinanda.
Halafu picha hiyo anaigaragaza kwenye mavumbi,
Aaaargh , hii inanikera sana, wapiga picha badilikeni!
 
Back
Top Bottom