Mkenazi
Senior Member
- Apr 11, 2011
- 124
- 43
Elimu kuhusu uchaguzi kwa raia wote wa Tanzania.
Utangulizi
Ni miaka 19 sasa tangu mfumo wa vyama vingi umeanza hapa nchini (1992-2011) na tumeishafanya uchaguzi mkuu mara 4 kwa madiawani, wabunge na rais pamoja na chaguzi nyingine ndogo ndogo kuziba nafasi zilizoachwa wazi kwa sababu mbali mbali. Katika chaguzi zote hizo tumeshuudia idadi ndogo ya wapiga kura ikilinganishwa na wale waliojiandikisha, hili ni tatizo kubwa na ndipo nitakapojikita zaidi.
· Kukataa mtu/kitu, chama/mfumo fulani kwamba haufaii kwa kura yako ile ile uliyompigia unayemtaka. Mtu asiposhiriki kupiga kura anakuwa ameruhusu asichokitaka kipite.
· Kuonyesha hisia zako kivitendo kuwa hauridhishi na utendaji mzima wa yule unayemtaka/unachokipenda kama kilikuwa na nafasi hiyo kabla ya uchaguzi. Usipopiga kura hawezijua mapungufu yake na kujirekebisha na hivyo kushiriki kuendeleza yasiyoridhisha kwa kutopiga kura.
· Kutimiza haki yako ya kikatiba ya kushiriki mamlaka ya wananchi ya kuweka/kuondoa mtu/chama/mfumo madarakani na hivyo kutoruhusu watu wachache kuweka utawala madarakani na wewe unabaki unalalamika tu.
Any citizen of the age of 18 years or above has the right to register as voter and to vote in any public election in Tanzania.
a. Under a declaration of allegiance to some country other than Tanzania;
b. Under a sentence of death imposed by any court in Tanzania;
c. Under sentence of imprisonment for a term exceeding six months;
d. disqualified from registering as a voter for being convicted for corrupt offences in elections.
e. Declared to be of unsound mind
(Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 Art.5.)
4. Upigaji kura 2005 na 2010
Kutoka kwenye jedwali hapo juu tunaona yafuatayo kati 2005 na 2010:
WADAU WOTE TOENI ELIMU YA UMUHIMU WA KUPIGA KURA, HAITOSHI KUWA NA WATU WENGI KWENYE MIKUTANO WASIOWEZA KUAMUA HATIMA YAO KWA KUPIGA KURA.

- Uchaguzi (Voting): Kwa maana halisi ya kuchagua

- Nani ni mpiga kura?
Any citizen of the age of 18 years or above has the right to register as voter and to vote in any public election in Tanzania.
- Mambo ya kisheria yanayokunyima haki ya kupiga kura
a. Under a declaration of allegiance to some country other than Tanzania;
b. Under a sentence of death imposed by any court in Tanzania;
c. Under sentence of imprisonment for a term exceeding six months;
d. disqualified from registering as a voter for being convicted for corrupt offences in elections.
e. Declared to be of unsound mind
(Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 Art.5.)
4. Upigaji kura 2005 na 2010
Upigaji Kura | 2005 | 2010 | Ongezeko/Pungua kati ya 2005/2010 | ||
Idadi | % Ya waliojiandikisha | Idadi | % Ya waliojiandikisha | ||
Valid votes (Kura halali) | 11,014,855 | 69% | 8,376,022 | 46% | 2,638,833 (24%) |
Spoilt votes (Zilizoharibika) | 495,290 | 3% | 227,241 | 1% | -268,049 (54%) |
Total voted (Jumla ya kura zilizopigwa) | 11,510,145 | 72% | 8,603,263 | 47% | -2,906,882 (-34%) |
Did not vote (Hawakupiga kura) | 4,400,768 | 28% | 9,411,404 | 52% | 5,010,636 (53%) |
Total registered Voters | 15,910,913 | 100% | 18,014,667 | 100% | 2,103,754 (13%) |
Kutoka kwenye jedwali hapo juu tunaona yafuatayo kati 2005 na 2010:
- Idadi ya waliojiandikisha kuwa wapiga kura iliongezeka kwa watu 2,103,754 sawa na ongezeko na 13% (2005 to 2010)
- Idadi ya wasiopiga kura iliongezeka kwa watu 5,010,636 sawa na ongezeko la 53% pamoja na kwamba idadi ya wenye haki kupiga kura kuongezeka kwa 13% . Idadi hii ya wasiopiga kura ni sawa na 58.2% ya waliopiga kura 2010. Ni idadi kubwa kuliko kura zilizoiweka madarakani serikali inayotawala sasa.
- Idadi ya kura zilizoharibika ilipungua kwa 268,049 (54%) labda pengine kwa sababu ya kupungua kwa wapiga kura.
- Idadi ya kura halali ilipungua kwa 2,638,833 (24%)
- Idadi ya kura halali ilipungua kwa 2,906,882 (34%)
- Upigaji kura 72% ya waliojiandikisha (2005) - 47% ya waliojiandikisha (2010)
- Kura halali - 69% ya waliojiandikisha (2005) - 46% ya waliojiandikisha (2010)
- Kura zilizoharibika - 3% ya waliojiandikisha (2005) - 1% ya waliojiandikisha (2010)
- Kutopiga kura - 28% ya waliojiandikisha (2005) - 52% ya waliojiandikisha (2010)
- Kama wenye haki ya kupiga kura na hawakupiga wangetumia haki yao na wote kuwapa chama tawala kingekuwa kinajiamini zaidi na bila hofu yoyote ya nguvu ya umma.
- Kama wenye haki ya kupiga kura na hawakupiga wangetumia haki yao na wote kuwapa chama kimojawapo cha upinzani basi tungekuwa na serikali ya Chama tofauti na CCM.
- Kama wenye haki ya kupiga kura na hawakupiga kura wangetumia haki yao na wote kuamua kuharibu kura kwa kutoridhishwa na vyama vilivyoweka wagombea ingetupa picha kwamba chama/wagombea mbadala wanatakiwa.
- Na kama wote wangepiga kura kwa kila mtu kuchagua amtakaye kati ya waliogembea tungekuwa na picha halisi ya siasa za yanzania na hivyo kila mwanasiasa wakiwemo walio madarakani wangejipanga vizuri na pengine kuondoa uwezekano wa vurugu
WADAU WOTE TOENI ELIMU YA UMUHIMU WA KUPIGA KURA, HAITOSHI KUWA NA WATU WENGI KWENYE MIKUTANO WASIOWEZA KUAMUA HATIMA YAO KWA KUPIGA KURA.