mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Binafsi nnaomba wakatae kutupa ili tusiendelee kuwa ombaomba.
Sikutegemea kabisa kama na wewe unaweza kutoa hoja hii. Naelewa wewe ni muelewa sana. Kwa nini unabadilika hivi???
Binafsi nnaomba wakatae kutupa ili tusiendelee kuwa ombaomba.
wakati umefika kwa watanzania kuacha kuzoea vya kunyonga!! Inabidi tuchinje.... Wengi mnaopiga kelele misaada imetusaidia nini....tunatakiwa tufanye kazi kwa bidii...tuwe na displini za maisha tutasonga mbele...zama za kutembelea baa kila siku jioni kwa kisingizio cha foleni na vilabu vya usiku jumatatu mpaka jumapili imepita.... Halafu na nyinyi wakimbizi wa kizanzibari mlioko huko ugaibuni mna shida gani? Tuachieni nchi yetu kwanza wengi wenu mmeshakuwa wasomali ....na ndoto yenu ya kumrudisha sultani bargashi imekwama!
hakuna nchi duniami iloyoendelea bila misaada.China ilipata msaada kutoka Soviet Union,Ujerumani baada ya vita ya dunia ilipata misaada kutoka umoja WA ulaya na hata mpaka sasa hivi kuna nchi za ulaya zinategemea misaada kama ugiriki,uturuki,ureno,Albania na nyingine nyingi tu.Kenya,Nigeria,South Africa wanahitaji miradi ya MCC sembuse Tanzania!magufuli anajenga uchumi wa kujitegemea hatuhitaji misaada ya kijinga kama ya watu wa malekani.
je wewe una akili kuliko huyu mheshimiwa wa magogoni dsm??????
Soma hapa alivyosema kuhusu mcc:-
tafakari na weka itikadi za kisiasa pembeni. Jadili maendeleo ya nchi yako.
Ha ha haKwani MCC ukizigeuzageuza herufi zake si unapata walewale wasiojinyonga wala kunywa sumu. Wataidhinisha tu!
kweli wewe kashorobwenga! Vipi wewe ni wale wa boda boda au mama ntilie! Ahadi za mamvi kutoweka zimewapagaisha.....fanyeni kazi...mambo ya kutegemea misaada yamepitwa na wakati..... Ccm wanasema #hapakazitu# cuf wanasema #hapahakitu# chadomo/chademea mnasemaje #hapaufisaditu#
hakuna issue hapo! Sefue ametoa maelezo yako straight forward....... Hatuwezi kuacha kufuata taratibu kwa sababu ya masharti wa wafadhili...... Wahuni wa kituo kinachoojita wa haki za binaadamu kama walikuwa wanafanya shughuli haramu ambazo haziko kwenye katiba yao na kama walikuwa ni mawakala wa kutetea maslahi ya chama cha nyumbani...mahakama itatusaidia kuliweka hilo hadharani ili tuweze kuliweka wazi kwenye umma wa watanzania na dunia...haikatazwi kutetea maslahi ya chama cha nyumbani...lakini ni muhimu kwa watanzania wote wafahamu...
Mbili suala la zanzibar bado lipo kwenye tume ya uchaguzi....na tume itafanya kazi kwa mujibu wa taratibu zilizopo....full stop! #hapakazitu# hatutaki vya bure!
Sikutegemea kabisa kama na wewe unaweza kutoa hoja hii. Naelewa wewe ni muelewa sana. Kwa nini unabadilika hivi???
Misaada ya nini!! Ndio maana huwa mnaoelewa.....Misaada wapeleke huko kwa wenzentu wenye kuhitaji..sisi hapa KAZI TU!
daaaaaa!!!!!!
Inanibidi nikusamehe tu kwani hujui ulisemalo!!!!!
Binafsi nnaomba wakatae kutupa ili tusiendelee kuwa ombaomba.
Wakati huo tuwe tumejiandaa kutokuwa ombaomba, si kushupaza shingo wakati uwezo wa kujitegemea amna, ukiangalia Sababu zenyewe ni kwa maslahi ya watu wachache.
tanzania hatuhitaji fedha kutoka nje! Misaada ndio chanzo cha ziada ya pesa za anasa.....tutabanana na hizi za ndani mpaka kieleweke!!! Waende zaoooo.....gesi na madini hazitatoka!
Hivi haujui kuwa ilani ya CCM na sera ya CCM ni mabadiliko ya ukweli?
Makubwa haya.
Jisomee: ILANI YA CCM 2015-2020 - HABARI ZA SIASA
Tumejiandaa vixxuri sana, tazama bajeti za kila mwaka kuanzia 2005 hadi 2015/15 utaona kila mwaka jakaya alifanya kila njia kushusha kutegemea wahisani na amefanya vyema sana kwenye hilo, toka tulipokuwa tunasaidiwa bajeti takriban asilimia 50 mpaka sasa tunaongelea asilimia kumi na ushey.
hahaaaaaaa hujui ukisemacho........muda utakufumbua kutoka usingizini.
No tanzania without marekani pumbavu[/QUOTE
WEWE UTAKUWA NI NYUMBU MLIBERALI!! NI UCHIZI KUFIKIRI KUWA NO TANZANIA WITHOUT MAREKANI! AKILI HIZI NDIZO ZILIZOKUFANYA UWE NYUMBU UNAEONGOZWA NA AKILI ZA MPIGA DISCO KWENYE MADANGURO YA USIKU..... LINI MNABADILISHA GEAR???
hahaaaaaaa hujui ukisemacho........muda utakufumbua kutoka usingizini.
No tanzania without marekani pumbavu[/QUOTE
WEWE UTAKUWA NI NYUMBU MLIBERALI!! NI UCHIZI KUFIKIRI KUWA NO TANZANIA WITHOUT MAREKANI! AKILI HIZI NDIZO ZILIZOKUFANYA UWE NYUMBU UNAEONGOZWA NA AKILI ZA MPIGA DISCO KWENYE MADANGURO YA USIKU..... LINI MNABADILISHA GEAR???
do a research dear...... kila mwanaume anamihemuko yake mkuu. toa point ijadiliwe.
tazama bajet yetu asilimia ngapi huwa pesa yetu wenyewe bila luzuku?
ntakubaliana na wewe ukisema tufanye mabadiliko kuanzia bajeti ijayo, ila kihistoria Tanzania can experience tragic without USA.
Refer. zimbabwe stuation........
any way, welcome
bado mnamuona Pombe mtu wa maana?