Wapiga kura jimbo la waziri wa nishati,anawapa ahadi gani huko

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,187
2,464
Wakuu,ni dhahiri kuwa tuko gizani,ilianza kwa kutupa matumaini hewa kuwa kuna uwashwaji wa mitambo ya umeme wa gesi,na ahadi kuwa wiki mbili tu mambo yanakuwa mazuri zaidi,lakini kinyume na ahadi leo hii mtu ukirejea nyumbani kukuta giza limekuwa jambo la kawaida.
Enyi wapiga kura wa jimbo la mh waziri na wale wa majimbo ya manaibu mawaziri wa nishata ebu mnijuze watu hawa wanasema wamefanikiwa nini katika uongozi wao?
Enyi mnaokishabikia chama cha mapinduzi ebu nielezeni sababu hasa za kukishabikia chama hiki.Jamani uchaguzi msiufanye kuwa kama ushabiki wa simba na yanga huu ni mstakabali wa nchi yetu sote.Ona sasa tuko gizani wote,alafu mda mfupi uliopita umetoka kuimba ccm mbele kwa mbele,geugeni ndugu zangu tufanye mabadiliko
 
Back
Top Bottom