Wapiga deki mpoo?

Wapiga deki mpoo?

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Wema zamani bhana!!
 

Attachments

  • 1418311791198.jpg
    1418311791198.jpg
    21.6 KB · Views: 1,039
Viswahili vya siku kweli noma, wapiga deki ndiyo nini ?
 
Ipi nzuri sasa kwa maoni ya wengi!!
 
jina linaendana na tabia ya mtu anagawa huyo kweli ana wema bado mimi tu kunionyesha wema wake
 
jina linaendana na tabia ya mtu anagawa huyo kweli ana wema bado mimi tu kunionyesha wema wake

Kama umeuona hadi wema wa Rihana umeshindwaje kuuona wa Wema?
Aibu naona mimi
 
jina linaendana na tabia ya mtu anagawa huyo kweli ana wema bado mimi tu kunionyesha wema wake

Alafu anaonekana ni mtamu, maana platinum atachepika weeee alAfu anageuza majeshi anarudi kwa wema wake
 
Kama umeuona hadi wema wa Rihana umeshindwaje kuuona wa Wema?
Aibu naona mimi

nilijua tu aibu utaona wewe tatizo domo alimpa nini sijui hata nilipokuwa natumbukiza voko akawa hanielewi
rihana ilikuwa one night stand
 
Alafu anaonekana ni mtamu, maana platinum atachepika weeee alAfu anageuza majeshi anarudi kwa wema wake

tatizo ana nyama nyama halafu ile sauti yake ukiikumbuka inakuwa ooohh my goshh lazima urudi
 
Wema zamani bhana!!

Hivi itakuwa vipi Mwenyezi Mungu kakuumba na ngozi yako nzuuuri kafurahia kazi ya uumbaji aliyoifanya leo hii unaenda kujikoboa kuukosoa uumbaji wa Muumba hivi nyie viumbe mnaopenda kufanya haya makitu siku kiama kikufika halafu aliyeekuumba akasema hakutambui kutokana na kujibadilisha hivi utafanyaje hembu tusaidiane pamoja na nyie wanaume mlioumbwa marijali mkija huku duniani mnatuletea shida mnajilegeeza huku mkishindana na dada zenu kugombea wanaume mtakanwaje.
 
Ni miongoni mwa wadada ambao nimewadharau sana..maana papuchi yake ni kama Bango la barabarani........

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ni miongoni mwa wadada ambao nimewadharau sana..maana papuchi yake ni kama Bango la barabarani........

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums


Chukua hii
 

Attachments

  • 1418585424536.jpg
    1418585424536.jpg
    9 KB · Views: 368
Mnh sio photo editing...ikaenda kombo???...mnayekutana nae huyu mdada katika shughuli zenu za kila siku,ni kweli yuko hivyo?
 
Back
Top Bottom