Wapi zipo ofisi za Uhamiaji Dar?

C uchukulie hapo kibaha tu. Mbona ndio karibu kwako
Na kweli kama yupo Kibaha, ni rahisi kwa sababu akipanda na barabara ya kwenda mkoani, akifika pale round about anakula kushoto akitembea mita chache ataliona jengo la ghorofa ambalo ndio la Uhamiaji liko upande wa kushoto. Akifika hapo matatizo yake yote kuhusu hati za kusafiri au kama anataka kubadili Uraia yatashughulikiwa hapo.
 
Back
Top Bottom