Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 249
Jamani wakuu naomba mwenye kujua zinakouzwa sindano hizi tuwasiliane ni sindano za kishonea makapeti.
Nipo Korogwe Tanga
Nipo Korogwe Tanga
Jamani wakuu naomba mwenye kujua zinakouzwa sindano hizi tuwasiliane ni sindano za kishonea makapeti. View attachment 2263611View attachment 2263612View attachment 2263613
Nipo Tanga Korogwe mkuuMkuu Tanzania ni kubwa ungetaja ulipo ili wadau wakuelekeze maduka karibu nawe