Wapi yanakodishwa ma Grader jijini Dar es salaam?

Wapi yanakodishwa ma Grader jijini Dar es salaam?

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,857
Reaction score
1,407
Wakuu,

Naomba anayefahamu sehemu yanapopatikana ma-grader yakukodisha kwa Dar es salaam anisaidie contacts zao au maelekezo ya kuwapata.

Natanguliza shukrani
 
Wakuu,

Naomba anayefahamu sehemu yanapopatikana ma-grader yakukodisha kwa Dar es salaam anisaidie contacts zao au maelekezo ya kuwapata.

Natanguliza shukrani
Best ukiyapata nami nishtue basi, serious
 
Nenda Willy Enterprises, ukiwa unavuka mataa ta Tazara kwenda Mjini upande wako wa kushoto,baada ya Azam tv ,then Furniture showroom, jengo linalofuata wanauza mabati utakuwa umefika
 
Nenda Willy Enterprises, ukiwa unavuka mataa ta Tazara kwenda Mjini upande wako wa kushoto,baada ya Azam tv ,then Furniture showroom, jengo linalofuata wanauza mabati utakuwa umefika[/
Asante mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom