Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
mkuu hao walio na kumbukumbu zao hapo RITA sidhani kama wanaweza kufika hata nusu ya wote walio tangulia!sidhani kama watu wanaona umuhimu huo!Data za Vizazi na Vifo pale RITA zinasemaje kwani? Tuanzie hapo kwanza kama baseline.
mkuu hao walio na kumbukumbu zao hapo RITA sidhani kama wanaweza kufika hata nusu ya wote walio tangulia!sidhani kama watu wanaona umuhimu huo!
since dunia ilivyoumbwawaliokufa mwaka jana/huu au since the beginning of time? Nadhani walio hai ni wengi zaidi ya waliokufa la sivyo tungekuwa tunafahamu watu waliokufa zaidi ya walio hai.
In that case waliokufa ni wengi zaidi. Huitaji data kufahamu Hilo ujizingatia umri wa dunia.since dunia ilivyoumbwa
In that case waliokufa ni wengi zaidi. Huitaji data kufahamu Hilo ujizingatia umri wa dunia.
Heshima kwenu wadau, hi kitu nimeiona sehemu nikaona bora niimuvuzishe na huku
eti kati ya watu waliokufa na sisi tulioko hai wapi wengi na ni zipi sababu zako?
nb:kwa data za un mwaka jana watu tuko zaidi ya bilioni saba dunia nzima
Data za Vizazi na Vifo pale RITA zinasemaje kwani? Tuanzie hapo kwanza kama baseline.
sawa mkuu!!!!RITA imeaanza lini? Waliokufa ni wengi kwa sababu kuishi kunalimit ya umri
Ngoja mathematicians waje ku-model hii problem, tutapata tu suluhisho. Nadhani population growth can be expressed using Binomial expression although ni exponential na death rate ........................... ngoja nikune kichwa kidogo.