Wapi wanauza viatu, nguo za jumla kwa bei rahisi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,470
25,394
Wakuu nahitaji kununua viatu vya kiume na vya kike vizuri kwa bei ya jumla

Pia nahitaji nguo za jumla nzuri

Msaada ,wapi nitapata vitu hivyo kwa hapa Dar?
 
karibu CHINA- Guangzhou upatee vya bei cheee kama bure
Bei zenu zikoje mkuu

Pia belo moja napata viatu vingapi?

Ila nataka viatu vya vijana sitaki vya watoto wala wazee kwa sababu target yangu kubwa ni kwa wanachuo

Kwa hiyo lazima nihakikishe mzigo ni mzuri haswaa nisije nikapata hasara
 
bei za jumla mabelo ndo sijui mkuu lbda niulize vibopa wa hizo kazi
 
inategemeana sasa na aina ya kiatu unaweza pata adi cha 2000 laba kali mpya ukiwa untafuta streets syo kwenye shopping malls
mkuu
mkuu me nahitaji niwe nanunua laba.za kiume sio kwa belo sitaki malonya nataka vikali tu ili vyote niuze kwa haraka huku mkoani sijui inawezekana na bei kwa mfano laba za vans huko naweza pata kwa sh ngapi ili nami nijue ntapataje faida
 
kwa kimoja unaweza pata adi vans ya 12000 yan mpya kama ila sasa unategemeana na location status ya uliyonunuliaa bidhaa
 
Mkuu embu ntoe ushamba. Inaweza kulipa kwa njia ya kawaida either kuwatumia pesa kwa dhl??
Dhl sidhan mana wanasafirisha kwa bei kubwa kidogo pengine sawa na bei ya bidhaa....ila wana free shipping japo inachukua muda kufika 10-20 posta
 
Back
Top Bottom