Duu hiyo bei mbona kubwa sanaKg1 = 32,000 kama unahitaj njoo pm
Kwa maeneo ya dar wapi wanauza mbegu za maboga?
Bei zake pia zikoje?
Kg1 = 32,000 kama unahitaj njoo pm
Kweli. Na mimi nilinunua huko juzi juzi tuNenda k.koo sokoni kule juu maduka ya kilimo hukosi..
Duu hiyo bei mbona kubwa sana
Kweli. Na mimi nilinunua huko juzi juzi tu