Wapi wanauza maturubai

Wapi wanauza maturubai

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Wapi wanatengeneza maturubai na je gharama yake ikoje?
 
Thanks kaka na nimechukua namba zao na ntawasliana nao.Thanks alot
 
Mkuu, mimi ninayo yale yatumikayo kwenye mabango. Kama upo interested pm
 
weka kapicha basi tuone yakoje. Na je unaprint adverts juu yake au? Bei gani?

Mama Joe, ni maturubai yale unayoyaona kwenye mabango barabarani. Ni same maturubai unayoyajua, isipokuwa yenyewe huwa lipo printed upande mmoja na mwingine huwa plain.

Bei hutegemea na size yake.
 
Maturubai wanaunda hata vijana wa veta, vitambaa vipo morogoro, fundi wa kulishona wengi tu, vyuma kuunda ndio vijana wa veta, complete na vyuma ikiwa ile size common ni takriban mil 1.2 kwa turubai. Ikiwa kushona kile kitambaa tu au turubai lenyewe ni kati ya lak 5-530
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom