Wapi wanauza ivi vitu nahitaji kununua nipo dar

Wapi wanauza ivi vitu nahitaji kununua nipo dar

Kwa iyo ivo vifungashio vipo dom au dar
Kama ukikosa kariakoo nitafute mkuu upewe msaada wa kupata hizo transparent aluminum foil bags. Topic Closed.
447660897-1224966655.jpeg
 
O
Huwa nanua pcs 100 A5 kwa $15 ukichukua pcs 1000 wana print na jina la bidhaa yako. Ila sichukulii hapa TZ naagiza China mtandaoni.

Zabibu kavu
View attachment 1033076
ok basi kwa sasa itabidi nichukue zile ulizonionyesha mwanzo badae mambo yakienda vizuri ntakuomba unisaidie ku agiza zilizo printiwa jina ..Asante sana kwa ushirikiano wako.
 
Naona kuna mdau hapo chini keshakuwekea! Lakini soko dogo lipo oppossite na (nyuma ya) soko kubwa!! Tuseme ndo umetokea Msimbazi, halafu ukaingia soko kubwa kupitia lango kuu! Ukiingia langu kuu, unapitiliza moja kwa moja hadi upande wa pili, na ukitokea tu upande wa pili, utakachokua unaangalia ni soko dogo, sie wengine tumezoea kuita soko la nazi!!

Kama lengo bado ni kwenda K/koo moja kwa moja, na hujaelewa hayo maelekezo, just uliza upate maelezo ya ziada!
Asante nilifika kwa kuulizia kutokea msimbazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom