ShimoniAsante,naomba unambie sokoni upande gani maana mim sio mwenyeji sana
Vofungashio vyote vinauzwa soko dogo pale kariakoo. Shimoni utasumbuka bure.Shimoni jamani ata sijawahi kuingia asante ntaenda nione
Oh God! Hujawahi kuingia cadey? Kule kuna wahuni sana na wanakaba mchana mchana, na kwahiyo sio salama kuingia peke yako! But anyway, nitakusubiri pale langoni nikusindikize, unaonaje?Shimoni jamani ata sijawahi kuingia asante ntaenda nione
Umejibu kiutani lakini 100% ndiyo nilivyokuwa nawaza.Vya kufungia unga
Asante, ilo soko dogo lipo upande gani kutoka soko kubwa au mtaa upi.?Vofungashio vyote vinauzwa soko dogo pale kariakoo. Shimoni utasumbuka bure.
Hata mimi nilielekezwaga shimoni nilipofika nikaambiwa nenda soko dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, kuna mdau kasema niende soko dogo lakin sijui lilipoOh God! Hujawahi kuingia cadey? Kule kuna wahuni sana na wanakaba mchana mchana, na kwahiyo sio salama kuingia peke yako! But anyway, nitakusubiri pale langoni nikusindikize, unaonaje?
Naona kuna mdau hapo chini keshakuwekea! Lakini soko dogo lipo oppossite na (nyuma ya) soko kubwa!! Tuseme ndo umetokea Msimbazi, halafu ukaingia soko kubwa kupitia lango kuu! Ukiingia langu kuu, unapitiliza moja kwa moja hadi upande wa pili, na ukitokea tu upande wa pili, utakachokua unaangalia ni soko dogo, sie wengine tumezoea kuita soko la nazi!!Asante, kuna mdau kasema niende soko dogo lakin sijui lilipo
Asante ,ntakutafuta naomba unambie za robo kilo ni bei gani na zinakuwa pisi ngapi ili nikikutafuta niwe nimejipangaUnahitaji za size gani?, pieces ngapi? Naweza kukupa msaada wa kupata hizo clear bag kwa gharama nafuu. Tuwasiliane WhatsApp 0759110633
View attachment 1032607View attachment 1032608
Copyright [emoji767] 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
Asante ,nikikwama ntakuchekiNaona kuna mdau hapo chini keshakuwekea! Lakini soko dogo lipo oppossite na (nyuma ya) soko kubwa!! Tuseme ndo umetokea Msimbazi, halafu ukaingia soko kubwa kupitia lango kuu! Ukiingia langu kuu, unapitiliza moja kwa moja hadi upande wa pili, na ukitokea tu upande wa pili, utakachokua unaangalia ni soko dogo, sie wengine tumezoea kuita soko la nazi!!
Kama lengo bado ni kwenda K/koo moja kwa moja, na hujaelewa hayo maelekezo, just uliza upate maelezo ya ziada!
A4, Pics 100Asante ,ntakutafuta naomba unambie za robo kilo ni bei gani na zinakuwa pisi ngapi ili nikikutafuta niwe nimejipanga