Maziku-Winston Smith JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 300 Reaction score 173 Jul 31, 2018 #1 Habari za humu wanajamvi. Anayefahamu ni maeneo gani hapa Dar wanauza zile board za kuchezea mchezo wa draught na chess pamoja na bei zake naomba anijulishe nahitaji kununua.
Habari za humu wanajamvi. Anayefahamu ni maeneo gani hapa Dar wanauza zile board za kuchezea mchezo wa draught na chess pamoja na bei zake naomba anijulishe nahitaji kununua.
chichiboy1 JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 1,412 Reaction score 1,909 Jul 31, 2018 #2 Nenda town mtaa wa samora opposite na JM Mall kuna duka lenye vitu vyote hivyo na bei zake rahisi tu.
Nenda town mtaa wa samora opposite na JM Mall kuna duka lenye vitu vyote hivyo na bei zake rahisi tu.
Maziku-Winston Smith JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 300 Reaction score 173 Jul 31, 2018 Thread starter #3 chichiboy1 said: Nenda town mtaa wa samora opposite na JM Mall kuna duka lenye vitu vyote hivyo na bei zake rahisi tu. Click to expand... Shukrani sana mkuu.
chichiboy1 said: Nenda town mtaa wa samora opposite na JM Mall kuna duka lenye vitu vyote hivyo na bei zake rahisi tu. Click to expand... Shukrani sana mkuu.
NYANYADO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 3,848 Reaction score 2,557 Jul 31, 2018 #4 Mazikujohn said: Shukrani sana mkuu. Click to expand... Niulizie Darts (mchezo wa vishale) wanauza bei gani?
Mazikujohn said: Shukrani sana mkuu. Click to expand... Niulizie Darts (mchezo wa vishale) wanauza bei gani?