wapi wanatengeneza milango mizuri ya metal plates kwa dar?


Milango mizuri na imara sana mkuu, na bei pia ni nzuri kama unayosema laki2.5. Tatizo moja mafundi wetu inawashinda finnishing: naona hapo hawajagrind na kupiga msasa kwa umakini, hawajatia fill, hawajaprime na undercoat haitoshi, pia ilihitajika smoothing ya kufa mtu kabla ya kusprey rangi!
View attachment 96845

View attachment 96846
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…