YoungCorporate
JF-Expert Member
- Apr 30, 2010
- 391
- 113
.nenda kwa wachina ndio kazi zao hizowakuu amani iwe juu yenu.
kaji-saloon kangu kamepata shurba kidogo katika mizunguko bodi imebonyea kiasi na rangi ya silver kuchunika! Sasa nataka nikapeleke clinic karudie mvuto wake! Wadau naomba location yenye wajuzi waliobobea katika kunyoosha mikunjo na kupaka rangi! Shukran
pole sana mkuu.
inategemea una bei gani. kama unataka uipige yote nenda kwa wachina pale mwenge......ITV.
kama unataka kishkaji nicheck kwa PM, yupo kijana anakufanyia hapohapo kwako, kama gari sio ya kuchoma sana lakini.
Mkuu kuna jamaa mmoja Backshpire aoutshop pale morocco nyuma ya zain ni mzuri na anatumia mashine za kisasa na bei ni maelewano hana njaa mpigie 0715871657
Wapo sayansi, nyuma ya oilcom, opposite ttcl (njia ya kwenda rose garden/ kwa nyerere. Wanaitwa spring city garage.Wanapatikana wapi hawa wachina?
no zao plzWachina wana bei reasonable kulingana na ubora wa kazi zao... Hawako cheap, na sio expensive ukilinganisha na Muda wa kazi, less longo longo na quality ya kazi yenyewe.. Siwapigii debe ila ukipeleka gari pale utajua nini nasema... kuhusu bei, Mimi kuna mtu alinigonga nyuma, bumper likachanika kabisa na kubonyea vibaya na mlango wa nyuma ukabonyea kabisa, wakataka 380,000 kwa kazi ya siku mbili na matokeo yake ni mazuri sana, yaani hakuna anayejua kama gari iligongwa kama sikumwambia, ni kama imekuja jana kutoka japan, Pia bro wangu aligongwa na tiper, bumper ya mbele iling'oka yote na taa zikavunjia, wachina walitaka 250,000 kwa kazi nzima na sasa hivi ukiliona gari utadhani limenunuliwa mwezi huu wakati lina mwaka sasa.. kwahiyo jamaa mi naona wana bei za kawaida tu kulingana na ubora wa kazi zao.... Mafundi wa mtaani ukilaza gari kwao hesabu maumivu, ukishamaliza kazi ya rangi, matatizo ya engine nk yanaanza, huku wanatengeneza na kule kuna wezi wanalihujumu gari lako... Na huna ushahidi wa kumfunga mtu... Wachina ukienda pale, wana form yao ya kukagua gari, wanalicheki kila kitu na wanarecord kila kilichopo kwenye hiyo form na ukija kulichukua wanapitia tena kucheki kila kitu kipo...
Ni mtazamo tu.
Baadhi ya mafundi wa mtaani ni shida sana,Wachina wana bei reasonable kulingana na ubora wa kazi zao... Hawako cheap, na sio expensive ukilinganisha na Muda wa kazi, less longo longo na quality ya kazi yenyewe.. Siwapigii debe ila ukipeleka gari pale utajua nini nasema... kuhusu bei, Mimi kuna mtu alinigonga nyuma, bumper likachanika kabisa na kubonyea vibaya na mlango wa nyuma ukabonyea kabisa, wakataka 380,000 kwa kazi ya siku mbili na matokeo yake ni mazuri sana, yaani hakuna anayejua kama gari iligongwa kama sikumwambia, ni kama imekuja jana kutoka japan, Pia bro wangu aligongwa na tiper, bumper ya mbele iling'oka yote na taa zikavunjia, wachina walitaka 250,000 kwa kazi nzima na sasa hivi ukiliona gari utadhani limenunuliwa mwezi huu wakati lina mwaka sasa.. kwahiyo jamaa mi naona wana bei za kawaida tu kulingana na ubora wa kazi zao.... Mafundi wa mtaani ukilaza gari kwao hesabu maumivu, ukishamaliza kazi ya rangi, matatizo ya engine nk yanaanza, huku wanatengeneza na kule kuna wezi wanalihujumu gari lako... Na huna ushahidi wa kumfunga mtu... Wachina ukienda pale, wana form yao ya kukagua gari, wanalicheki kila kitu na wanarecord kila kilichopo kwenye hiyo form na ukija kulichukua wanapitia tena kucheki kila kitu kipo...
Ni mtazamo tu.
Kama kuna Mtu au comment fulani au maalum ulikua ukiijibu ungebonyeza reply pale paleda! lakini c fundi wote wa mtaani yuko hivyo mfano mimi nimefanya kazi kwa wachina miaka2 nikaachana nao na kurudi mtaani na napiga kazi zangu vizuri sijawai poteza hata pini ya mteja
Naomba namba yako tuwasilianeda! lakini c fundi wote wa mtaani yuko hivyo mfano mimi nimefanya kazi kwa wachina miaka2 nikaachana nao na kurudi mtaani na napiga kazi zangu vizuri sijawai poteza hata pini ya mteja
Nilipeleka kelvin AUTO knyama Land Cruiser ilipigwa kidogo kwa nyuma mlangon nikaambiwa 900,000/= Tshmwenye kujua bei za wchina basi jamani, si vizuri kwenda ukatajiw abei ukazimia