Sure!
Hawa jamaa ni wazuri sana kwa masuala ya IT.
Hivi majuzi kuna wenzangu wamehitimu short course ya graphic design pale pale University Computing Centre (UCC).
Kwa maelezo zaidi nadhani unaweza kuwatembelea ktk www.ucc.co.tz

Yani wanafundisha AutoCAD 2002? Ingekuwa AutoCAD 2008 walau ningewaelewa, latest release ya AutoDesk ni AutoCAD 2010 sasa siwaelewielewi hawa, na kisha tembelea TechnoBrain uone course zao.

Kama una computer, internet, software, kichwa na muda unaweza kufanya mengi wewe mwenyewe kuliko utakavyofundishwa na hivi vyuo.
Mimi nilijifunza mwenyewe kutengeneza websites na java late nineties, na nilikuwa chuo, na chuoni walikuwa hawafundishi kabisa.Nilipomaliza na kuanza kuonyesha wenzangu wakanishangaa sana.