Wapi wanafanya semen analysis Dar?

Nimeoa boss tyr kwa bahat mbaya mke anafanya kaz mkoan na mm niko dar kikaz hivyo tunakutana mara chache sana

Uwezekano wa mke kukuletea mimba isiyoyako ni mkubwa ila ndo hivyo tena itabidi ukubali kulea watoto. Lakini pia kuwepo kwake mbali kunakupa nafasi ya kutafuta tiba kwa uhuru zaidi. So tumia muda huo vizuri
 
Back
Top Bottom