Wapi vinakoauzwa vitabu vya Literature?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,622
4,138
Wakuu,

Naomba kujuzwa vinakouzwa vitabu vya literature kwa bei ya jumla,
Hasa novels kama vile UNANSWERED CRIES, THE INTERVIEW n.k,

Pia plays kama vile THIS TIME TOMORROW, THE BLACK HERMIT, THIS TIME TOMORROW n.k.

Natanguliza shukrani.
 
Nenda kariakoo ukifika pale soko kuu shimoni ulizia maduka yote makubwa ya vitabu yamepakana na hilo soko utavipata.
 
Back
Top Bottom