Wapi Utategeka, Mitego hii bana

Wapi Utategeka, Mitego hii bana

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
576425_111230679034056_1476073804_n.jpg



285149_164242623714064_1793931254_n.jpg
 
Huko Mpanda Katavi ndiko anakopatikana huyu au ndipo ulipo wewe..??

Mmm, huyo kimwana yuko pande za Chanika Dar, ila mimi mtu wake wa karibu (shangazi) niko Katavi kikazi narudi baada ya mwezi mmoja, hivyo kama wataka mambo marefu (ndoa), nifuate huku Katavi. Kama wataka mambo mafupi (uhusiano reja reja), hayo siyawezi, mfuate huko kwenye facebook mutaongea mambo yenu.
 
huyu samaki hapatikani katavi, labda awe kapelekwa na mafuriko.

Yamekuwa hayo tena, huyu aunt wangu wamwita samaki, makubwa!!! Niombe radi, ila yuko Chanika, Dar es Salaam; mimi ndiye niko Katavi.
 
Hawa wanafugika kweli?naomba kuanzisha mjadala,kwa maisha ya siku hizi na wameshajua kuwa soko lao liko juu (umbo na urembo) wanavyosumbuliwa kila wakikatiza (shape)..wengi wao wanakuwa hawana misimamo hadi wachakae kwanza ndio wengi wao wanatulizana la sivyo ukiingia hovyo utakufa kwa pressure,kila saa yuko busy sana simu kama vile ni customer care agent kujibu wateja ......
 
Kwa ujumla wote ni mitego mikali ila wa Katavi ni nouma zaidi
 
Yamekuwa hayo tena, huyu aunt wangu wamwita samaki, makubwa!!! Niombe radi, ila yuko Chanika, Dar es Salaam; mimi ndiye niko Katavi.
Hii iko sawa. Tuwekee picha yake ya asubuhi kala hajapiga mswaki akiwa ndo katoka tu usingizini.
 
Kabla hatujakwama tubadilike tusije kujutia maamuzi yatakayotupoteza. Neno la Mungu Qouran au Bible ndio silaha pekee ya kuyashinda majaribu ya Shetani.
Tukifanya hivi kila siku tutawaona hawa madada zetu na tutawaombea pia.
 
Back
Top Bottom