Kule wewe hamia tu, unajikatia eneo maisha yanaendelea.Hela ikipatikana mgao wangu waninunulie hata plot ya 10*10 huko somalia Mimi nihame.
Huenda zilishuka bei, Wafipa wamezinunua kwa mkopo. Juni zikipanda bei, Wahehe watazinunua tena kwa bei ya juu. Mkopo utalipwa na cha juu!