Hata ukisafiri nje haisaidii kitu kabisaa zaidi zaidi unakutana na watu wanakuuliza unatoka wapi ukiwajibu Tanzania wanakuonyesha video kwenye simu zao hii ni nini unabaki kuongea vitu visivyoeleweka maana jamaa wa Nje yale matukio wanajua wote tunahusika tulio hai..
Basi twendeni ambako hakuna watuHata ukisafiri nje haisaidii kitu kabisaa zaidi zaidi unakutana na watu wanakuuliza unatoka wapi ukiwajibu Tanzania wanakuonyesha video kwenye simu zao hii ni nini unabaki kuongea vitu visivyoeleweka maana jamaa wa Nje yale matukio wanajua wote tunahusika tulio hai..
Tushachafuka mzee hadi Wazambia wanatudharau ujue tumechafuka kweli..Basi twendeni ambako hakuna watu
kwani lazima useme umetoka tz ama hao wanaokuuliza wanakuwa wamekushikia pistol kichwani I'm just askingHata ukisafiri nje haisaidii kitu kabisaa zaidi zaidi unakutana na watu wanakuuliza unatoka wapi ukiwajibu Tanzania wanakuonyesha video kwenye simu zao hii ni nini unabaki kuongea vitu visivyoeleweka maana jamaa wa Nje yale matukio wanajua wote tunahusika tulio hai..
Kwa sisi watu wa utalii ni lazima uitangaze Kampuni yako na kuwaambia maeneo ya kutembelea mbuga zetu na kupanda mlima kwa hiyo hauwezi kuwaambia tofauti na Nchi yako..kwani lazima useme umetoka tz ama hao wanaokuuliza wanakuwa wamekushikia pistol kichwani I'm just asking
ah,Kwa sisi watu wa utalii ni lazima uitangaze Kampuni yako na kuwaambia maeneo ya kutembelea mbuga zetu na kupanda mlima kwa hiyo hauwezi kuwaambia tofauti na Nchi yako..
Wanyama wana hisia ya hatari ukipakia mashoga ukaenda nao porini hiyo gari itakimbizwa na Tembo guide wenzio watajua umepakia nini.Nadhani hata tukienda mbugani wanyama watatukimbia.. Unajua wana silika za hisia
Video niiisema sintaangalia tena kuna siku niliangalia video ya Mama kapigwa risasi akivuka bara bara mtoto wake wa kike anamwita Mama Mama aamini kama kafa mpaka leo inaniumiza sana..