Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,890
- 828,478
Taifa limechoka liko hoi
Tanganyika iko hoi
Wananchi wamechoka
Waliojiteua wamechoka
Walioua wamechoka
Waliopoteza ndugu zao wamechoka
Waliotoa amri za shoot to kill wamechoka wako hoi hasa
Gen Z wamechoka
Chawa wamechoka
Wezi wamechoka
Mafisadi yamechoka
Wafungwa wamechoka
Wafunga wamechoka
Watengeneza drama wamechoka
Sote tumechoka na Tanganyika iko kwenye mtanziko na mambo hayaendi
Kitakachopatikana kwenye ZAhabu tujipoze nacho kwanza! Tugawane tukanyweshee mioyo sehemu tulivu nchi za mbali pengine tukirudi tutakuwa sawa😂